Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

Kiukweli nasadiki kopi yake niliiyona hija Pugu kiukweli Yesu Kristu ni hai.
 
Anyway suti ni sanda ya kisasa, siku nyingine uwe na maswali yenye kichwa hadi miguu
Jibu zuri,ukisema tufuate Kila kilichokuwa kinafanyika enzi hizo tukileta Leo Kuna watu wataonekana vichaa
 
Bro, unateseka hadi na maiti?
 
haaaaaahaaaa yaani mungu anakufa? mungu yesu anavishwa sanda sasa nani anaetupa sisi mvua na matunda ikiwa mungu kafa

Alifufuka pia hicho kipande naona umekisahau ndicho kinamfanya awe Mungu.
 
Sio kila kitu kuiga.

Yesu alishuka kutoka mlimani na kuanza kutembea juu ya maji akielekea kwenye mashua. Mitume walipomwona mtu akitembea juu ya maji, waliogopa sana.

Yesu alitembea juu ya bahari, wewe kwenye meli una fata nini?
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Naona unajichanganya mwenyewe kwenye hoja yako.
Kwani teknolojia ni nini hadi ujuzi wa kutengeneza sanda usiwe teknolojia na ushonaji suti nao haitumiki teknolojia?
Kwa akili yako kwenye kutengeneza magari tu ndiyo teknolojia?
Tuanzie kwenye maana ya teknolojia kwanza.

Unaweza kutoa ushahidi kwamba watu wote wakati wa Yesu walivikwa sanda?
 



NONSENSE
 
Huko kwetu ukifa unazikwa na ngozi ya ngombe maisha yote ngozi haiozi wababu zetu wako Hadi Leo na ngoz zao za ngombe waliviringishwa Kisha wakafukiwa Kuna kaburi lilitaka kuamishwa ilikutwa nagozi ikiwa vikevvilena mifupa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
MAGDALENA siyo jina la mtu ni jina la mji (Magdala) aliokozaliwa huyo Mariamu. Siku hizi limegeuka kuwa jina kwa wanawake. Magdalene/Magdalena maana yake anaetoka mji wa Magdala. Ni kama kumuita mtu Mkibosho au Mmarangu kwa sababu anatoka Kibosho au Marangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…