hahahaha mi young tu brother uchebe ndo kwanza umeanza kunitokakama 2016 ulikuwa skuli kumbe fundi bishoo bado kachalii kama chote yani ๐๐๐
Mtoa mada kwa hizi comments atakua amepata hasira kama zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama vyotee
Unamaanisha "wingi"..mfano kuna bia kama zote..hapa ni kwamba bia zipo za kumwaga..Ushamba ni wewe kuona msemo au kitu fulani ni cha kishamba kwasababu wewe binafsi hukipendi. Huo msemo hata mimi nishauliza maana sielewi hio yote,zote kwenye sentensi inaleta maana gani ila siwezi kuwadharau wanaotumia.
Atakutangaza una kibamia kama chote hivi..Nimekutana na demu ana shimo kama lote[emoji2][emoji2]
"Yechu yechu" maanake niniMkuu yaani ni Yechu yechu tu namalizia bia yangu hapa wala haikatai mzuku ni mwingi fulu kama wote tu.
Tafuta mtu kutoka arusha atakuambia maana yake..ni.yechu"Yechu yechu" maanake nini
Sasa kama unajua si unambie tuTafuta mtu kutoka arusha atakuambia maana yake..ni.yechu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa anatembea mwendo "kama wote" acheni lugha ipate misamiati mipya masuala ya kupangiana misamiati ni wendawazimu... Kilatini kilikufa kwasababu "kama zote" [emoji23][emoji23][emoji23] hizo