Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Yechu yechu huku chuga ina maana ni poa tu mkuuSasa kama unajua si unambie tu
kama akina gentamycinHiyo misemo inawahusu wasio na akili timamu.
Hiyo ni misimu na kama ulisoma kiswahili shulen huwez kushangaa Misimu huzuka na kupoteaMi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu
Shukrani nduguYechu yechu huku chuga ina maana ni poa tu mkuu
Hahahaaaaa, nijaalie hali yako kwa muhtasar bibieHahaaaa. Mie sijuagi hata mana ila sijawahi chukia mtu akitumia hilo neno, naona sawa tu yaani linapotumika kama limeeleweka basi.
Cc. Mama Sabrina na Sesten Zakazaka .
Mie alhamdullilah uzima upo Sesten.Hahahaaaaa, nijaalie hali yako kwa muhtasar bibie
Hujambo weye? Mwasisi wa msemo huo humu jukwaani nadhani ni Mama Sabrina Hajar ingawa sina uhakika sana
Halafu Hajar hua unakumbukumbu sana hatariπππMie alhamdullilah uzima upo Sesten.
Sijambo kabisa namshukuru Allah. Usijali nilikumbuka siku moja uliniambia kuhusu hilo neno na aliyekuwa kaliandika ndio maana nikawakumbuka.
Jiandae tu kisaikolojia maana upande wa pili wapo njema kama yooooteπππππππ acha tu Sesten sijui itakuwaje aiseee.
sio bure utakuwa na mimbaMi wananiudhi sana....nikikuta mwanaume anasema hivyo napata kichefu chefu
kama yote naona unadamshi damshi nayo tuππππKanipa bi mkubwa wako?
We dada mzuri kama wote [emoji23] [emoji23] [emoji3]Siupendi huo msemo hasa akitamka mwanaume