Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi lakini mnaendeleaje na shem wetu... kitambo hujatupa updates πππBarikiwa dearest
Naona amekushushia dislikes πππππ
Tupo bhana...sema huonekani, au ndo ushafungiwa ndaniππHajambo.
Updates ntawapa usijali.
Team PF3 nimewamissije wapenzi wangu,πππ
Uweke huo ushuhuda sasa tupate chochote kitu na sisiπ€π€Acha tu.ππ
Jaribu kubwa zaidi kwa mwanaume ni kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na kwa mwanamke kushindwa kubeba mimba.wewe ume pitia nini?
nature ya binadamu ni ku compare na ku contrast.. si ajabu unachokiona wewe kigumu kwako. ndipo ambapo mwenzio anatamani angalau apafikie
Hii inaendelea au tuishie hapo?Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo.
Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu.
Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika.
Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na furaha sio ajabu na kila mwenye furaha akisema aandike uzi patakua hapatoshi hapa.
Kilichofanya niandike ni kuwa katika hali ya kibinadamu kutokana na mambo niliyokua napitia muda mfupi nyuma sikutegemea kabisa kama leo hii ningekua miongoni mwa wenye kufurahia maisha.
Kilichotokea ni Mungu peke yake ndie mwenye uwezo wa kufanya kitokee.Idadi za kumuona Mungu maishani mwangu zimeongezeka.Mungu yupo.Ni halisi.Anaonekana na mimi nimemuona.
Sikiliza rafiki,haijalishi unapitia nini,haijalishi watu wangapi wataandika dharau na kejeli kuhusu uzi huu ila MUNGU YUPO NIMEMUONA NA KWAKO ATAONEKANA PIA.
Inawezekana asijidhihirishe kwako kwa haraka kama alivyofanya kwangu ila YUPO, ANAKUONA na wewe iko siku UTAMUONA.
Namalizia kwa kurudia kukwambia,,HAIJALISHI UNAPITIA NINI,haijalishi unachopitia kimewaangamiza wengi ila kwako kitapita mana kinachodumu milele ni neno la Mungu tu ila
mengine yote YANAPITA.
Hii ukivywea maandazi hushibi.. hii inafaa viaziAsa maandazi si Jero tu rafiki yangu ππ
au mihogoπππHii ukivywea maandazi hushibi.. hii inafaa viazi
Aiseee... Mbona nawewe ni kama unatafuta namna ya kumsiginia kunguni kupitia mgongo wanguπ€£π€£au mihogoπππ
Me niko hapa kumsapoti kila mtu my friend πππ....sina vayolensiππ€π€Aiseee... Mbona nawewe ni kama unatafuta namna ya kumsiginia kunguni kupitia mgongo wanguπ€£π€£