Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

Kuna siku tulikua tunaenda home likizo, rafiki Moja alikua analalamika hana hela kbs ya kutumia akiwa likizo nkamuuliza hapo ulipo una sh. ngp kwenye account akasema 230k, kwa wakati mi nlikuwa na 15k mfukoni nauli 3000 tu na nlikuwa comfortable kinoma๐Ÿคฃ

Ebu tuambie na ww dadangu huenda na ww utakua kama rafiki yangu
 
safi๐Ÿ‘๐Ÿพ
 


#ushuhuda. Ujasema unahubiri.
 
Samahani ndugu....naona kama vile...pengine...au labda....nadhani...ingawa...bila shaka....haidhuru...ndio hivyo.๐Ÿ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ