Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
nani kasema israel ni kikundi? Halafu unaposema marekani anaweza kushirikiana na yoyote that means kuna siku marekani anaweza kushirikiana na hamas,hizbullah,al shabab,islamic state n.k si ndio? Umeandika marekani hawezi kushirikiana na waarabu je saudi arabia ni wachina?
Sasa alshabaab ni ya nani!?.. unajua alshabaab ilivyoibuka?..somali palikua na umoja wa mahakama za kiislam (union of islamic courts),walianza pigana vita 2000 mwanzoni,kufika 2000 katikati wakawa wameichukua nchi nzima, marekani na wenzie wakaenda kuwapiga na kuibuka alshabaab,ambao sasa wamefika kenya, tanzania, msumbiji ambako kote kuna mafuta na gas,isis ndiyo waliopigana na gaddafi na assad,na walipougua walitibiwa israelyes but not for the millitants groups like islamic state,al shabab,hizbullah,hamas and so on.
Kama kupiga kura kungempa ushindi kamala,kutopiga ni kumhujumu,ni simple thing to understandKama hawakupiga kura maana yake hawakumtia adabu basi, imetokea by chance bila wao kufanya effort yeyote anyway! Kumtia aibu mtu ni kufanya kitendo actively cha kumfanya aone umetenda na umeinfluence matokeo!
Kama kupiga kura kungempa ushindi kamala,kutopiga ni kumhujumu,ni simple thing to understand
Waarabu waliweka hilo bayana, wengine wakitaka mpigia trumpHow do you know usipopiga kura wengine hawatapiga? What are the chances? Anyway ni imani tu na mimi naheshimu imani za watu wakati najiuliza maswali
Ukisema walimpiga Trump nakuelewa japo wanapishana 0.5% tu so inaleta shaka pia km significance yake ni influence au ni normal distribution curve tu. Kungekua na tofauti kubwa tungesema Yes bila shaka. Anyway ni mtazamo tuWaarabu waliweka hilo bayana, wengine wakitaka mpigia trump
Una hamu ya kubishana au!?Ukisema walimpiga Trump nakuelewa japo wanapishana 0.5% tu so inaleta shaka pia km significance yake ni influence au ni normal distribution curve tu. Kungekua na tofauti kubwa tungesema Yes bila shaka. Anyway ni mtazamo tu
Marekani sio Bongo
Subiri ifike January akiingia madarakani utajua kwanini Iran walitamani afe kabla ya uchaguzi.
Una hamu ya kubishana au!?
We do have permanent interests not friends,sera ya marekani
Hao waarabu waache kujitwalia sifa wasizostahili! Matokeo ya Michigan (walikojazana) yanatoka tayari Trump alishavuka 270!Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza:
View attachment 3145748
Kwamba hakusikiliza:
View attachment 3145737
Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote:
View attachment 3145739
"Mwenye nchi, mwananchi!"
Nyinyi msijifanye ndiyo mna ufahamu sana wa siasa za marekani.
Jimbo ambalo limekuwa islamized ni Michigan. Waislam wake wakapigia Green party. Hivyo mwisho ikawa Republican 45, Green 33 na Democrat 15. Lakini kutokana na Trump kuwa amechukua Georgia, North Carolina, Pennsylvania na Wisconsin hata kama Waislamu wenu wa Michigan wagempigia Kamala bado asingeshinda. Trump aliishafikia the magic number 270 zamani.
Kushindwa kwa Kamala kunatokana na sababu mbili muhimu
1. Inflation ilikuwa kubwa; utawala wa Biden ulishindwa kudhibiti hilo
2. Immigration isiyo dhibitiwa. Na hapo hasira ya Wamarekani imeongezeka hasa baada ya vurugu zenu Waislamu
You better return the hostages before he assumes office in January 2025. Wambie Maislamists wenzakoAnayejifanya kuzijua siasa za marekani si wewe uliyekwenda hadi kujifanya kudadavua numbers, sababu uchwara na majimbo ndani?
Umetambua hakuna tulichoandika sisi zaidi ya:
1. Kuonyesha wapinga vita marekani walimpa miadi Kamala ya kumtia adabu kama hatabadilika mapema ya kutosha.
2. Kwamba hatimaye alikwenda kuwaangukia akiwa kachelewa mno nao wakakaza:
Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!
3. Baada ya kumtia adabu wamekwenda mbele kumkumbusha miadi yao kwa kuangusha party.
Hapo kipi kipya tumeandika sisi kuhusu siasa za marekani ndugu?
Kukurejea binafsi, unaonekana una makasiriko sana baada ya Kamala kutiwa adabu vilivyo.
"Kama Kamala angeshindwa tu kwa hizi sababu uchwara zako ulizoorodhesha, kumbe:"
1. Kwa nini alikuwa anagombea au kufanya kampeni?
2. Vipi Marais wote hai wa democrats kasoro Carter wa miaka 100+ kuambatana naye kumnadi na kumpiga kampeni vilivyo?
3. Vipi vigogo wakiwamo wa republican kama kina Dick Cheney na wengi wengine kum endorse Kamala?
4. Kulikuwa na haja gani ya kimwondoa Biden ulingoni?
5. Vipi kwenda kuwaangukia wapinga vita hawa?
6. Vipi Marais wote hai republican kumsusa Trump majukwaani na kukampeni kama yatima?
7. Nk.
Ujuaji wenu uchwara huu mngeuelekeza Narung'ombe ndani ndani huko, siyo huku kwenye utandawazi ambako dunia ni Kijiji!
Zaidi sana nikufahamishe hauko na data zozote kuwahusu wapinga vita ambamo humo wamo Arab Americans na sympathizers wao.
Kwamba wewe una makasiriko nao kivyao vyako unadhani kila mtu ndugu?
Jasmoni Tegga na wale wasayuni wengine habari ndiyo hiyo.
Kinyungu, Proved, Bwana Utam na ndugu waungwana hebu oneni hizi ngombe.
Ninakazia:
"Ngombe si ng'ombe!"
Hao waarabu waache kujitwalia sifa wasizostahili! Matokeo ya Michigan (walikojazana) yanatoka tayari Trump alishavuka 270!
You better return the hostages before he assumes office in January 2025. Wambie Maislamists wenzako
View: https://x.com/TheMossadIL/status/1854487008069968363
Waache waendelee kuota. Marekani hata aje Raisi wa namna Gani kusupport Israel ni ajenda. Akijizima data system inaondoka na Kichwa chake asubuhi na mapema.
Support ya US kwa Israel ipo kwenye utaratibu na Trump hataubadilisha wanajipa matumaini bure tu. Kuna nchi kama Israel, Taiwan, Japan na South Korea hizo msaada kutoka US ni suala la maslahi ya Taifa