Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Sidhani kama tatizo ni jinsia, tatizo ni mtu na uwezo wake. Ukisema issue ni jnsia unakosea sana.

Ikihalalishwa jinsia kuwa tatizo wawe tayari kukubali race, kabila na hata dini kuwa tatizo.

Kwa maana kamili ya mawazo duni kabsa!
 
Siyo bando mkuu. Tunaangalia chanzo cha mgogoro. Haki ya kuwepo kwa Israeli na Wapalestina kuamini kuwa Israel haupaswi kuwepo wakiamini ardhi ni yao.

Hapo Trump akisema atamaliza mgogoro anawadanganya. Vivyo hivyo kwa Kamala.

Nani anakwambia Palestina hataki Israel kuwa pale?



Kwani wewe hujawahi kumsikia asiyetaka wapalestina kuwa pale?

Au humjui asiyetaka yawepo mataifa mawili pale?
 
Hao wote ni hali moja, hakuna mwenye afadhali. Wote ni mashetani, hawawezi kuendesha nchi nje ya mfumo wa kishetani.

Hakuna "lesser evil".

Wote evil lakini acha huyu aliyewachukulia wapiga kura hawa for granted siku zote, japo this time wamtie adabu kwanza na ajue kwa hakika ni hawa.

Mengine baadaye.

Au nasema uongo?
 
Sasa mbona Trump nae ana support Israel kwa kila kitu
Alisema mji mkuu uwe Jerusalem
Huu ni mda wa majeruhi
Walikuwa wanapigana vijembe wakasahau mpaka sera zao
Sasa wameona ohoooo ndio wanaongea kwa heshima wote wawili
Ila safari hii naona watampa mwanamke
 

Majuto yako hivi:

Wapiga kura hawa siku zote wamekuwa ni miliki ya democrats.

Hapa kuna uchaguzi ambao kila kura ni muhimu, sembuse 200,000?

Kwamba alishafanya survey na akajua vita si issue, kumbe hapo umeonaanacheza gombesugu?
 
Alikua wapi kuisemea hizo siku zote kasubiri hadi siku zimeisha.

Huyu mama ni Elton Honi, watu wanapiga
 
Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.

View attachment 3143259

Ndiyo hivyo tena.

Majuto ni mjukuu.
Alipanga hivyo,Ili kuwanyima pro israel muda wa kujadiliana na kushawashiana wakati huo waarabu wa michigan wakiwa wamechanganyikiwa kwa hilo na kutokua na msimamo mmoja,kila move ipo calculated,hawaropoki tu kama slaa
 
Alikua wapi kuisemea hizo siku zote kasubiri hadi siku zimeisha.

Huyu mama ni Elton Honi, watu wanapiga

Na ndiko kukumbuka shuka asubuhi.

Itapendeza akienda na historia ikabakia kuwa hii vita naye ilimpitia.
 
Wote evil lakini acha huyu aliyewachukulia wapiga kura hawa for granted siku zote, japo this time wamtie adabu kwanza na ajue kwa hakika ni hawa.

Mengine baadaye.

Au nasema uongo?
Utasubiri sana.

Kwa sababu huelewi kuwa YTanzaniani epublic siyo Democratic.

Kura zako ni kupoteza muda tu. Rais anajulikana ni nani kabla ya kura yoyote ile.

Nyota njema huonekana alfajiri.
 
Alipanga hivyo,Ili kuwanyima pro israel muda wa kujadiliana na kushawashiana wakati huo waarabu wa michigan wakiwa wamechanganyikiwa kwa hilo na kutokua na msimamo mmoja,kila move ipo calculated,hawaropoki tu kama slaa

Kwamba ni mawazo yako bila shaka siyo final wala terminate:





 
Huyu Mama Ni Dhaifu sana Trump anachukiwa kwasababu anajisimamia anafanya maamuzi..Hiki kimama Straight mjue WW3
 
binti kiziwi hebu ona hili sayuni la Goba linaugulia maumivu:

View attachment 3143374

Shwain!
Acha shobo zembe na za kishamba. Huwezi ukalipata hili toto kali la kinyaturu kwa approach zako za kizembe na za kigaidi. mmemfanya hadi alitoaga avatar picha yake nzuri ya red lips kwa kumsumbuasumbua na swagger zenu za kisoro.

Humpati ng'oo

Israel FOREVER

binti kiziwi
 
Umefanywa nini cha kukuliza Tanzania?
Kinachokuliza tanzania ni ukondoo wako tu, hakuna zaidi.
1. Nchi inajiendesha yenyewe !
2. Kila mtu ni msemaji wa chama na serikali.
3. Kizurura na njia!
4. Unakopa unajenga vyoo na madarasa, Tanrods wanalia nchi Haina Barbara ina viraka.
5. Kila kitu kimeuzwa,utadhani tumefika mwisho kuzaa, kumbe tunaendelea na hatujui watoto wataelekea wapi.
6. Hatembelei maeneo hakuna bara Baar za lami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…