Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Hawa wote ni wale wale. Hakuna mwenye afadhali si Trump si Kamala. Wote wanamtumikia YahudiKwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.
View attachment 3143259
Ndiyo hivyo tena.
Majuto ni mjukuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wote ni wale wale. Hakuna mwenye afadhali si Trump si Kamala. Wote wanamtumikia YahudiKwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.
View attachment 3143259
Ndiyo hivyo tena.
Majuto ni mjukuu.
Na sijamsikia mda ana shida gani?Jinsia ile hapa mkuu.
Tumejifunza mengi.
Hata mwenza wake huko Tanganyika hajulikani Yuko wapi na anafanya nini.
Wewe hueleweki hata unataka nini.Hao wote ni hali moja, hakuna mwenye afadhali. Wote ni mashetani, hawawezi kuendesha nchi nje ya mfumo wa kishetani.
Hakuna "lesser evil".
Halafu unaishi inchi iliopakana na mashetani unapingana na andiko la allah hahHao wote ni hali moja, hakuna mwenye afadhali. Wote ni mashetani, hawawezi kuendesha nchi nje ya mfumo wa kishetani.
Hakuna "lesser evil".
Ushasema ni "pseudo democracy" kuna nini cha kujadili zaidi hapo?
Au hauelewi maana yake?
Trump anachukua nchi kabla ya swala ya alfajiriSasa mbona Trump nae ana support Israel kwa kila kitu
Alisema mji mkuu uwe Jerusalem
Huu ni mda wa majeruhi
Walikuwa wanapigana vijembe wakasahau mpaka sera zao
Sasa wameona ohoooo ndio wanaongea kwa heshima wote wawili
Ila safari hii naona watampa mwanamke
Kwenye Biblia au Quran sijawai ona kuna historia ya mwanamke kiongozi, Lkn Tunaongozwa na saa100 na kamara atapita tu.
Wagombea wote wakubwa wawili yaani Trump na Harris ni Pro-Israel.Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.
View attachment 3143259
Ndiyo hivyo tena.
Majuto ni mjukuu.
Kumchagua Trump kwa kisingizio kwamba Kamala hajawasaidia wapalestina ni hoja muflis.Trump ndio alihamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem kuthibitisha kwamba yeye ni die hard sponsor wa Israel.
Hakuna Rais mwingine kabla yake aliyeweza kuchukua hatua hiyo.
Ndio Rais aliyeanzisha ban kwa Nchi 7 za Kiislamu raia wake wasiruhusiwe kuingia Marekani.
Policy ya Marekani kuhusu Israel haiwezi kubadilika.Marekani ndio inailinda Israel.
Kumchagua Trump kwa kisingizio kwamba Kamala hajawasaidia wapalestina ni hoja muflis.Trump ndio alihamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem kuthibitisha kwamba yeye ni die hard sponsor wa Israel.
Hakuna Rais mwingine kabla yake aliyeweza kuchukua hatua hiyo.
Ndio Rais aliyeanzisha ban kwa Nchi 7 za Kiislamu raia wake wasiruhusiwe kuingia Marekani.
Policy ya Marekani kuhusu Israel haiwezi kubadilika.Marekani ndio inailinda Israel.

Kila mtu anaishi kwa imani yake, mimi sijui buddha au mabiniyan... so uwez ulkuniuliza kuniuliza swali kama hilo,Kwani vitabu vya dini ni biblia na Quran tu?
Jinafasi uangalie na kwa mabaniyani, mabuddha na wengi wengine huko.
Wagombea wote wakubwa wawili yaani Trump na Harris ni Pro-Israel.
Kila mtu anaishi kwa imani yake, mimi sijui buddha au mabiniyan... so uwez ulkuniuliza kuniuliza swali kama hilo,
Hawa wote ni wale wale. Hakuna mwenye afadhali si Trump si Kamala. Wote wanamtumikia Yahudi
Nani amekuambia nateseka?Wacha conclusion za kijinga.Mimi nilichangia ninavyoona na kuelewa siasa za Marekani.Kwako ni mufilisi lakini si kwa wengine wakiwamo wapiga kura wenyewe:
View attachment 3143592
View attachment 3143593
View attachment 3143594
Kwani wewe unateswa na hoja hiyo ukiwa mwananyamala ipi?
Ushasema ni "pseudo democracy" kuna nini cha kujadili zaidi hapo?Tofauti ya mawili Haya ni significant:
1. Kumwunga mkono mpalestina kutokea kwenye mlengo wa haki.
2. Kumwunga mkono mpalestina kutokea kwenye mlengo wa dini.
Hilo #2 wengine hatumo.
Hilo #2 ndilo linalowafanya kujifanya wajuaji hadi mnakera.
Dini kila mtu ana yake!
Mawazo kila mtu ana yake!
Kujifanya wajuaji nyuma ya fake ID tusikojuana mnakera!
Huu ni ushauri wa bure kusuka au kunyoa ni shauri yako!
Kwani wewe unaishi wapi?Halafu unaishi inchi iliopakana na mashetani unapingana na andiko la allah hah
Sipigi kura, nani akahangaike na huo ujinga?Wewe hueleweki hata unataka nini.
Kutokupiga kura kwako hakuzuia yoyote kuchaguliwa.
Kwani wagombea ni Trump na Kamala Harris pekee?
Kwanini msiwapigie hao wengine?