- Thread starter
- #121
Sasa si bora hata huyo Kamala, Trump ndio chiz alisema akishaingia Iran shuguli anayo, Trump alihamisha ubaloz wa US israel akaupeleka Jerusalem makusudi na palestina na Midsle east yote walikasirika.. na akatambua settlement za israel pale westbank. Kama sehem ya israel na wala sio uvamiz
Yaan kwenye swala la Israel na palestina .. Palestina walau wanaweza wakapata ahueni kwa kamala kuliko trump.
Imeelezwa mara 💯 kidogo kwa nini ni afadhali apigwe chini.
Umeelewa hata kwanini katokea kuwaangukia hao ndugu?