Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Fikra dhaifu mnoo.
Baki na zako ambazo siyo dhaifu.

Mwafrika kakaa anashadadia uchaguzi wa marekani, utafikiri unamuhusu. Ya nyumbani kwake yanamshinda, ndiyo fikra bora hizo?
 
Ushasema ni "pseudo democracy" kuna nini cha kujadili zaidi hapo?

Au hauelewi maana yake?

Nimesema milengo ya haki na dini kuelekea Palestina ni tofauti.

Huko kwenye dini wengine hata zetu zilitushinda tutaziweza zenu?
 
Tanganyika tunalia kwa jinsia hii, nitaishangaa USA kumchagua.

Bora kichaa kuliko jinsi...hii.
Usichanganye uswahilini na huko majuu wewe! Unamkumbuka Angel Makel wa Ujerumani na yule Magreth Thatcher wa UK? Huku uswekeni ni hovyo sana!
 
Nimesema milengo ya haki na dini kuelekea Palestina ni tofauti.

Huko kwenye dini wengine hata zetu zilitushinda tutaziweza zenu?
Fidel Castro alikuwa hana dini, alipoulizwa kuhusu uchaguzi wa marekani alijibu hivi:

Mwaka 1960 Rais wa Cuba Fidel Castro aliulizwa angependelea mgombea gani... Kennedy au Nixon.?

Castro alijibu ... "Haiwezekani kulinganisha viatu viwili vinavyovaliwa na mtu mmoja. Amerika inaongozwa na chama kimoja ... Chama cha Zionist na kina mbawa mbili ...

Mrengo wa Republican ambao unawakilisha nguvu kali ya Kizayuni... na mrengo wa Kidemokrasia ambao unawakilisha nguvu laini ya Kizayuni...

Hakuna tofauti katika malengo na mikakati, ni njia na zana ambazo zinatofautiana kidogo".
 
Unafahamu huu uchaguzi bila shaka utaamuliwa kwa makumi elfu kidogo ya kura?

Unafahamu hawa waliokuwa wapiga kura wa kindaki ndaki wa democrats, safari Hii wamemsusa yeye na chama chake ili kuwtia adabu wao binafsi?

Haipo shaka atavuna alichopanda.

Au wewe huoni hivyo?
Matokeo yatatoa jibu..
 
Mkuu hata matokeo akipenya ajue ilikuwa tundu la sindano na ajue alikuwa kachezea shilingi kwenye choo cha shimo.
Kamala ndio nafuu kwa raia wa Gaza kuliko mahafidhina kama Trump
 
Hakuna lolote. Ua magaidi na familia zao na wananchi wote huko gaza na lebanon.
 
Kamala ndio nafuu kwa raia wa Gaza kuliko mahafidhina kama Trump

Mkuu wacha ieleweke Hadi Hulu kwetu kuwa ukiwakera wapiga kura kuna repercussions na mfanowe ndiyo huu mezani.

Wadhani bi dada hakaliona hilo na ndiyo sasa alikuwa hapo ku sugar coat?
 
Rais ni Kamala, fullstop.
Kamala labda bao.la mkono la usalama wa taifa wa marekani ...maana wana hofu kubwa sana ya trump kurudi madarakani na hofu yao ni yakweli maana jamaa akirudi kwa waliyo mfanyia lazima awashikishe adabu.
 
Sidhani kama tatizo ni jinsia, tatizo ni mtu na uwezo wake. Ukisema issue ni jinsia unakosea sana.
Sasa wewe hadi leo ujajua kuwa wanawake uwezo wao upo chini sana ya wanaume ..jinsia ya kike moja kwa moja inauwezo mdogo sana kuwa viongozi.
 
Back
Top Bottom