Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Mnalilia nini? Mbona Mimi silii? Ni aibu kulizwa na jinsia inaonesha kabisa huna uwezo.

Bahati mbaya sana Ukubwa wa dick Yako haukuongezei akili 😂😂👇👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1852769611671896173?t=UbQPF_Om4LMcFWqtJjCeDw&s=19

Waafrica hatuna akili kabisa 🤕🤕🤕 tunashabikia viti vya ukibaraka ambavyo hatuna amri navyo yoyote zaidi ya kufuata miongozo ya mabeberu ...wakisha tupachika vyeo wanatutumia dhidi ya nchi zetu wenyewe ...cheo cha huyo mwanamke nikama zile PHD za kuchambia alizokuwa anapewa mjambiani mpumbavu kwa kugawa bandari zetu bure milele daima kisha anatoka kakenua meno akifurahia makaratasi ya chooni kama zuzu ...bado tusubiri kupewa maji matukufu ya zamzam kwa kugawa SGR NA BRT NA BWAWA LA NYERERE BURE.
 
Nani amekuambia nateseka?Wacha conclusion za kijinga.Mimi nilichangia ninavyoona na kuelewa siasa za Marekani.

Mwenye conclusion za kijinga si wewe uliyeita kumchagua Trump Ili kumtia adabu Harris ni hoja mufilisi?

Kwamba nimekuwekea yasemwayo na waliodhamiria kumtia adabu kama yalivyo ndiyo yalifanya wewe kung'aka hivyo?

Kulikoni ndugu?
 
Sasa wewe hadi leo ujajua kuwa wanawake uwezo wao upo chini sana ya wanaume ..jinsia ya kike moja kwa moja inauwezo mdogo sana kuwa viongozi.

Ukiambiwa weusi uwezo wao uko chini sana kuliko wazungu napo utasema je?
 
Fidel Castro alikuwa hana dini, alipoulizwa kuhusu uchaguzi wa marekani alijibu hivi:

Mwaka 1960 Rais wa Cuba Fidel Castro aliulizwa angependelea mgombea gani... Kennedy au Nixon.?

Castro alijibu ... "Haiwezekani kulinganisha viatu viwili vinavyovaliwa na mtu mmoja. Amerika inaongozwa na chama kimoja ... Chama cha Zionist na kina mbawa mbili ...

Mrengo wa Republican ambao unawakilisha nguvu kali ya Kizayuni... na mrengo wa Kidemokrasia ambao unawakilisha nguvu laini ya Kizayuni...

Hakuna tofauti katika malengo na mikakati, ni njia na zana ambazo zinatofautiana kidogo".

Mjadala nje ya dini huo una afya mno, sasa Madina, Mecca sijui Vatican huko, sisi wengine wapi na wapi?

Castro namheshimu sana japo yeye naye kama Putin, Xi, CCM, RPF, NRM nk kutoka madarakani, hata wametamka hadi kwa nyundo!

Sasa Castro, Putin, Xi, PK, Museveni, CCM na wa mamma hiyo ndiyo uwaulize kuhusu demokrasia duniani? Si watakwambia zao ndiyo modeli?

Kwani unadhani CCM wanaweza kusema hadharani chaguzi huwa wanakwiba?
 
Mwenye conclusion za kijinga si wewe uliyeita kumchagua Trump Ili kumtia afabu Harris ni hoja mufilisi?

Kwamba nimekuwekea yasemwayo na waliodhamiria kumtia adabu kama yalivyo ndiyo yalifanye wewe kung'aka hivyo?

Kulikoni ndugu?
Hujui hata kufikiri.Kumchagua Trump ambaye ni zealous supporter wa Israel ni kumtia adabu Kamala?
Wisdom is chasing you but you are always faster.
 
Mjadala nje ya dini huo una afya mno, sasa Madina, Mecca sijui Vatican huko, sisi wengine wapi na wapi?

Castro namheshimu sana japo yeye naye kama Putin, Xi, CCM, RPF, NRM nk kutoka madarakani, hata wametamka hadi kwa nyundo!

Sasa Castro, Putin, Xi, PK, Museveni, CCM na wa mamma hiyo ndiyo uwaulize kuhusu demokrasia duniani? Si watakwambia zao ndiyo modeli?

Kwani unadhani CCM wanaweza kusema hadharani chaguzi huwa wanakwiba?
madaraka yasikupe huzuni, hata wewe ukiyataka unayapata.

Kwanza anza kwa kuwa na madaraka kwako mwenyewe, kama huwezi unangoja wenye madaraka wakufanyie, utabaki kulalamika maisha.

Waliopo madarakani walianza kwa kujiwekea madaraka yao binafsi. Hswakujuwi wew nani wala mimi ni nani.

Upo hapo ulipo kijana, wachana na fikra za ukondoo, kungoja kuchungwa tu. Jichunge mwenyewe, kikikutosa unaanza kuwachungia wengine.
 
Hujui hata kufikiri.Kumchagua Trump ambaye ni zealous supporter wa Israel ni kumtia adabu Kamala?
Wisdom is chasing you but you are always faster.

Hizi si ndiyo zile conclusion za kijinga ndugu?

"Sasa na mimi kumbe nikisema hata kufikiri hujui utasema je?"

Kama una nia ya kujadili tokea na nia hiyo, siyo na vi conclusion hivi vya kijinga jinga.

Vinginevyo kama ilivyo ada tutakuonyesha wasemavyo wapiga kura wenyewe na kukuuliza, kulikoni unateseka kutokea wapi.

Haya ya wisdom kukimbizana na wewe bila shaka yanakuhusu wewe zaidi.

Au hudhani hivyo ndugu?
 
Hizi si ndiyo conclusion za kijinga ndugu?

Sasa na mimi kumbe nikisema hata kufikiri hujui utasema je?

Kama una nia ya kujadili tokea na nia hiyo, siyo na vi conclusion za kijinga. Vinginevyo tutakuonyesha wasemavyo wapiga kura wenyewe na kukuuliza kulikoni, unateseka kutokea wapi.

Haya ya wisdom kukimbizana na wewe bila shaka yanakuhusu wewe zaidi.

Sioni wapi yanaingia haya uliyokurupuka kuyaandika.

Bila kusahau humu jf anonymity ni pamoja na wewe kutokuwa na haki ya kuniita au kunifikiria kwa lolote kivyako vyako!

Nje ya hapo andiko lako hili, irrelevant kama lilivyo laonyesha kupagawa kwako zaidi.

Kwamba makasiriko yako haya bila shaka ni kutokana kukumbushwa mambo ya Mecca na Madina kuwa wengine hayatuhusu?

Kwa hakika huo ndiyo ulio ukweli.

Kila mtu ana dini yake na kama yako unadhani ni bora zaidi, kumbe ituhusu nini wengine tusiokuwamo au hata kuihitaji?

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Ila kamala akishinda lazima gazeti la pongezi litoke kupitia x kutoka kwa rais wa puerto rico.
 
Ila kamala akishinda lazima gazeti la pongezi litoke kupitia x kutoka kwa rais wa puerto rico.

Ina maana mwamba akishinda itakuwa msiba mkubwa tokea San Juan huko?
 
Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.

View attachment 3143259

Ndiyo hivyo tena.

Majuto ni mjukuu.
Sasa si bora hata huyo Kamala, Trump ndio chiz alisema akishaingia Iran shuguli anayo, Trump alihamisha ubaloz wa US israel akaupeleka Jerusalem makusudi na palestina na Midsle east yote walikasirika.. na akatambua settlement za israel pale westbank. Kama sehem ya israel na wala sio uvamiz

Yaan kwenye swala la Israel na palestina .. Palestina walau wanaweza wakapata ahueni kwa kamala kuliko trump.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hao wote ni hali moja, hakuna mwenye afadhali. Wote ni mashetani, hawawezi kuendesha nchi nje ya mfumo wa kishetani.

Hakuna "lesser evil".

Unapata wapi jeuri kumsema shetani wakati vituko vyenu vinaashiria mnamuabudu, ikiwemo mnavyocjinja Wakristo, amebuni dini nyingi sana tangu Yesu aondoke.
Japo natamani sana Trump ashinde, yule anaweza akawatembeza kichapo.
Nyote wakiwemo Malaria 2 brazaj mtakoma.
 
Ina maana mwamba akishinda itakuwa msiba mkubwa tokea San Juan huko?
Kaka we acha. Si unakumbuka kamala alifanya ziara puerto rico na kuahidi baadhi ya vijimsaada. So unategemea kamala akianguka unadhani rais wa puerto rico atafurahi? Jibu ni hpana. Trump akiingia hata vijisafarisafari vinaweza kukata. Yu no wari ai mini.
 
Unapata wapi jeuri kumsema shetani wakati vituko vyenu vinaashiria mnamuabudu, ikiwemo mnavyocjinja Wakristo, amebuni dini nyingi sana tangu Yesu aondoke.
Japo natamani sana Trump ashinde, yule anaweza akawatembeza kichapo.
Nyote wakiwemo Malaria 2 brazaj mtakoma.

Mkuu ni kunikosea mno kuniunganisha na huyo mjumbe .

Kwa hakika hata yeye anajua miye siyo mwenzake!

Kwamba yeye yuko kidini wengine hatuko huko!

Huyo ni mwenzako!

Wengine sisi tunakerwa mno na mijadala yoyote yenye vionjo vya kidini
 
Back
Top Bottom