Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.

IMG_20241104_132628.jpg


Ndiyo hivyo tena.

Majuto ni mjukuu.
 
Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.

View attachment 3143259

Ndiyo hivyo tena.

Majuto ni mjukuu.

Majuto yapi mkuu...? Ameangalia statistics za US nzima zinasemaje kuhusu vita! ....Maana Trump naye alisema mapema naye atamaliza vita...Swali kubwa watamalizaje!

Ni dakika za majeruhi sasa hivi ! Kila upande unaangalia kipi kinaweza kubadilisha upepo! Na kama kasemea Michigan labda kaangalia Trump alisema nini alipokuwa Dearborn!
 
Unaelewa uchaguzi huu waweza amriwa kwa kura 50,000? Au kukurupuka tu kwa kuwa uko na bando?
Siyo bando mkuu. Tunaangalia chanzo cha mgogoro. Haki ya kuwepo kwa Israeli na Wapalestina kuamini kuwa Israel haupaswi kuwepo wakiamini ardhi ni yao.

Hapo Trump akisema atamaliza mgogoro anawadanganya. Vivyo hivyo kwa Kamala.
 
Back
Top Bottom