Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Mwana mieleka yeye anashuka kwa fact,blabla kwake hapana.
Jamaa ana maono ya Kila mtu ajitambue na sio mwumini wa watu wategemezi.
Jamaa akirudi madarakani,Dunia itaanza kuwa na amani.Hapendi uonevu anapenda peace and love.
Anapenda kila Taifa liwajibike.Amini mizozo mingi itaanza kupungua Duniani.
Anapenda haki.
Ukizingua anakuchana,sio mnafiki.

Alivo waambia viongozi wa bar la Afrika kuwa Bara Zima ni 'shithol"

Ukweli ndo ule,hadi mivutano kati ya USA NA RUSIA.
Ulipungua.
 
Kuna ukweli unachosema. Especially kuwa Africa ni shithole!

Nafahamu watanzania wengi sana wanampenda Trump. Wengi humu wapo inafahamika hata kitaa huku ni maarufu sana. Lakini Trump yeye hataki habari yao. Who wants to deal with shitholes in their right mind?

Lakini pia kwa mujibu wa “council of foreign relationship” taasisi mojawapo muhimu kabisa marekani, Trump hataki marekani iwe kiongozi wa dunia. Ndo maana ni maarufu sana kule Urusi na Uchina. Nitaweka ushahidi hapa. Maana wengi nikiwaambia “isolationism” hata hawaelewi maana ya neno hilo maana hawajui historia ya marekani.

Hapa chini ni taarifa kutoka kwenye taasisi hiyo.

Ikiwa "kujitenga" kunamaanisha tu kuwa na mashaka juu ya jinsi sera ya kigeni ya Amerika imekuwa ikitekelezwa kwa miongo minane iliyopita na kutilia shaka faida kwa Merika ya kutumia uongozi wa kimataifa, basi Trump anahitimu kama mtu wa kujitenga.

Kwenye kujitenga kwa marekani, kuna faida na hasara zake. Hilo nakuachia mwenyewe ulitafakari consequences zake. Maana kwa kiasi kikubwa, ana qualify kama isolationist.

 
Okey,
 
Kamala is more Indian than black.
Zikija kampeni za siasa za uchaguzi ndiyo hugeuka na kuwa black ila in the office, economy policy making etc she is Indian and South Asian.
Mkimtaka the black Kamala msubirini mtaani wakati wa Kampeni.
Go check this out. Things are unfolding really quick…watakaoamuwa itakuwa gen z

 
Obama alifanya kitu gani kibaya kuliko marais wa US wote waliotangulia kabla yake?
 
Trump ameshawawashia taa gizani, na wameshaanza kuja kwa style zao zilezile, anasubiri wawe wengi awakusanye na kuwaokota kama senene
 
Ndugu yangu jmushi1, humu unawapigia mbuzi gitaa! JF ya leo si JF ya zamani. Hata pasco wa zamani sasa kawa Pascal Mayalla wa leo. Wapenzi wa Putin lazima wawe wapenzi wa Trump.

Orodha ya viongozi wetu wa leo wala isikushangaze. Ukipanda mchicha ni uendawazimu kujiaminisha utavuna nyanya! Hivyo hivyo usishangae kukuta Trump anaabudiwa TZ!

Kiumri Trump na Biden wanapishana kidogo sana. Trump hana cha kupoteza kwani asiposhinda, milango ya jela inamsubiri na ikitokea muujiza akashinda atatamani ardhi ipasuke imzike.

Known and proven convict cannot be the leader of the United States of America and you can take that to the bank! if the USA was the JMT, just maybe! Here anything goes!
 
Huyu obama alimuua Gadafi na Sadam bila kosa lolote
 
Nasubiri mdahalo kati yao (Mwanasheria Vs Mhalifu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…