Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

Sisi kama Chadema tumpe ulinzi Kamanda wetu Tundu Mughwai Lissu
24/7 7days

Hadi atakapoingia Ikulu sisi Wananchi tunaweza
 
Mkuu una mshauri Lissu kucheza Russian Roulette!
 
Ishu ya lisu itamuandama rais wangu mpaka mwisho wa maisha yake. Pamoja na yote anayosifiwa kuyafanya doa la lisu linafuta mazuri yote hata Karne tatu zijazo vizazi vya wakati huo vitasoma historia yake kwamba taifa letu lilishawahi kuwa na kiongozi mbaya Sana wa Aina yake wakati huo bombadia na haya yote ayafanyayo yatakuwa yamechakaa na pengine kubomolewa kupisha miradi mingine mikubwa ya wakati huo. Ila legacy aliyoiacha haitafutika milele daima dumu.Adolf Hitler mazuri yote aliyoyafanya bado yanatiwa ukungu mzito na legacy aliyoiacha .

Kuacha alama mbaya Ni Jambo baya Sana duniani. Vizazi vyako vitapata tab Sana na jina lako litatemewa mate vizazi na vizazi.
 
Yupo mtu mmoja anaweza kutoa kauli ya kumlinda Lissu na akalindwa na vyombo vyote. Lakini kwa nini hataki kutamka na mamlaka yote anayo?
Watu wakifikiri kuwa tukio lile LA kupona halikumfurahisha watakuwa wanakosea? Litakuwa jambo la aibu kuona eti baada ya kuachia ofisi Lissu ndio anarudi kwani itaondoa heshima yake ya ustaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. Mayalla kumbe ile kauli ya kustaafu, ilikuwa ni maadhimisho ya sherehe yetu pendwa ya kujifariji makupuku ya April mosi!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There will be no ubungo interchange 500 yrs to come.

There will be no bombadia 50 yrs to come.

Stiglaz gorge might have been deserted bcoz of technological advancement of that time.

Standard gauge railway might have been uprooted and replaced by hyperloop technology.

Only your legacy will remain to define who you were and how you lived with your generation.
 
Sasa hivi kuna COVID.19.
Tusubiri iishe ndipo tuanze kujadili jambo hili.
Pengine kwa mkuu wa Inchi kutoa tamko kuhusu shambulio la Lissu na kumsamehe kwa yote aliyokuwa anayasema juu yake, Mungu ataendelea kutunusuru na Corona.
 
Polisi Tanzania kuwasaka waliotaka kumuua Tundu Lissu
  • 08 Septemba 2017
Sambaza habari hii Email Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Whatsapp

Image captionMkuu wa Jeshi la Tanzania
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro amesema kuwa wametuma kikosi cha ziada polisi wa upelelezi mjini Dodoma kuchunguza na kuwatafuta wahalifu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro amesema kuwa wametuma kikosi cha ziada polisi wa upelelezi mjini Dodoma kuchunguza na kuwatafuta wahalifu waliotekeleza shambulio la mwanasheria wa chama cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu siku ya Alhamisi.
Kamanda Sirro amekanusha tetesi ya kuwa waliomshambulia mbunge huyo walikuwa wanahusika na polisi.
"Suala la sare za washukiwa kufanana na za jeshi la polisi" Kamanda Sirro amenukuliwa akisema "kinachofanya uhalifu sio sare, Kinachofanya uhalifu ni mtu anayetekeleza tukio. Nguo za jeshi la polisi Tanzania zinafanana na nguo nyingi za makampuni binafsi lakini siyo hoja kwamba polisi wetu wanahusika. Kwa hiyo jambo la msingi tunawatafuta waliotekeleza tukio hilo."
Hivi karibuni, mbunge Tundu Lissu kutoka chama cha upinzani cha CHADEMA, amekuwa akikamatwa mara kwa mara na jeshi la polisi akishutumiwa kufanya uchochezi.
Kamanda Sirro amelizungumzia suala hilo "Tunamkamata kamata Tundu Lissu kutokana na matendo yake na kutokana na sheria yenyewe."
Ikumbukwe kwamba Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana Mjini Dodoma, katikati mwa Tanzania siku ya Alhamisi, na baadaye kupatiwa matibabu katika hospitali kuu ya Mkoa wa Dodoma na kisha kusafirishwa hadi mjini Nairobi, katika hospitali ya Nairobi kwa matibabu zaidi.
SIRRO KABLA YA KUPIGWA STOP!
 
dah! wewe jamaa bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama una nia nzuri na Lissu, wewe ni wale mnaotumiwa na wale wasiomtaka Lissu Lissu ndani ya Chadema. Inajulikana akirudi wengi kwejye safu za juu za chadema, watakosa sifa na platform, habari itakuwa Lissu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeandikwa,"Usimjaribu Bwana Mungu wako".Yeye Huyo aliyemwokoa kutoka mikononi mwa hao mashetani,Ndiye Yeye anaemwongoza katika kila hatuwa ya kurudi Tanzania.Wakati na saa uliopangwa na Yeye Yule utakapowadia,atarejea,tena mchana kweupe,ili SHETANI AIBIKE na Mungu azidi kuinuliwa.
 
Brilliant and well balanced whilst backed up with facts. Yet ethically provocative!

Just to add, "disengagement will get us nowhere"

Well done and thanks anko P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…