Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

Ushambiwa no jogging ijumaa,sabato,jpili
Mzeee kwa hiyo kama mnakikundi chenu habari ndiyo hiyo

Ova
Mimi nafanya mazoezi kazini haya yenu wa tafuta mademu kwa jogging
 
Ni muda sasa wa hii fani iwe post ya moja kwa moja aidha olevel au advanced level luepusha waliofeli kuwa changuo pendwa kwao manake nlitegemea jogging ihamasishwe kwa maslai mapana ya covid,vitambi na kisukari ila sasa badala yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1. Viongozi wa makanisa wamesema sasa basi wamechoka kuzika.
2. Baadhi za hospital ziko overloaded na wagonjwa wa pumu hadi wanawekwepa wagojwa kiaina maana hizo pumu zinaonekana walikua nazo tangu utotoni.
3 . Mazoezi kwa makundi yanapigwa marufuku.
 

Kinachofuata Ni kuzuia mikusanyiko ya sherehe, burudani, michezo...
 
Akaaa yamekua hayo tena mara hii? Zimekua siyo siku za mpumziko tena ni za ibada?
 
Mambosasa ana mambo ya kizani nadhani apewe jina jingine
 
halafu wengi humu wanajidai wana akili kuliko... wanaowaongoza.. wengi mmechemsha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .. mjifunze kusoma na kuelewa na kwenda nje ya boksi..

kulalamika mlalamike nyie.. kulaumu nyie.. mnataka nini haswaaa!!!! vitambulisho vya 2oK vipo mupate cha kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…