cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
kwanini? kisa swahili unataka uandikie ya kabila wako? sihitaji elimu bure.. nilifauru ngazi hizwo vizuri sana.. wewe kauze kitambulisho ya 20K vipoElimu bure siku hizi, jikomboe japo na MEMKWA we jimama.
Dini gani?
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anaiita homa kali ya mapafu, uzuri wa hii unaweza ukawa unatembea huku ukiwa umereudisha namba, siyo ile yakurudishia kitandani.Japo Mambosasa huwa na mambo yake ya ajabu ajabu, ila hii itakuwa Corona tu.
Halafu kuna kichaa mmoja nimemsoma somewhere anasema Tanzania hakuna Corona.
Alitaja mipaka, au ni mpaka Mzee au Mboga kule Msoga?Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Hilo ni agizo kutoka makao makuu ya jeshi la polisi....so ni nchi nzima!Alitaja mipaka, au ni mpaka Mzee au Mboga kule Msoga?
Ooh hata weee! Kamanda Kanda Maalum Dar es Salaam, huyu siyo sawa na yule mkuu wa Mkoa wa Tanzania.Hilo ni agizo kutoka makao makuu ya jeshi la polisi....so ni nchi nzima!
Ngoja boss wake aje ampinge naona ameshakula kushibaKamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
kan jmn kuna aina za kikusanyiko..?Sokoni na ibada wapi na wapi bwashee?
Uwe unaelewa!
lakini uwanja wa taifa ruksa..Msiambukizane Covid-19, muwe mnaelewa
Magari yote Tanzania yenu nyinyi tuSwala tano mnaenda na magari?