liikambako
Member
- Feb 26, 2020
- 35
- 121
Hiyo haifanyi kazi kwa Polepole wa CCM? Pathetic foolMahakamani kuna taratibu zake, na magereza kuna taratibu zake. Eneo la Magereza siyo public toilet kwamba unaingia tu unavyojisikia wewe.
I hate this primate! Look at it. It pretends to be a human being!
Hawa ndiyo waliopewa mafunzo maalum ya kuwaza kwa kutumia makalio???Pale magereza kuna kikosi kinaitwa KMGM
hao FFU wanasubiri
Dk 5:inatakiwa watu wote wanaofanya fujo wanatakiwa wawe wanaugulia nguvu ya rungu wale awapigi usoni Wanapiga kuanzia kiunoni kushuka chini
Ni kikosi maalum cha magereza Ss wajela jela ukisikia filimbi ya hatari ya magereza unalala kama umekufa awakugusi
Lakini ukijifanya kichaa wanakuvunja kweli kiuno
Ukileta genye magereza Utajikuta mloganzila au jumba leupe la Muhimbili karibu na msikiti na kanisa kkkt..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani America Ni mbiguni mkuuYupo kwenye list ya watu wanaofuata kuwekewa vikwazo na Marekani.
Asante sana kamanda kwa ufafanuzi, wakitoka hopstal wafungwe kabisa
Pale hawatafuti kiki mkuu hawawezi kuanza kurekodi,pale wanakua wanatekeleza majukumu yao ya kazi,hasa kuzuia wafungwa wasitoroshwe na wahuni wachache wanaojificha kwenye mgongo wa siasa.Angeonyesha video au hilo shati lililochanwa ingeleta sound kidogo.
Hakuna mwenye akili timamu aanze kumchania shati askari. Polisi wafanyapo Kazi Wawe wanarecord video kupata ushahid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makamanda wa kiume ni waoga balaa mkuu,wote wamejaa JF wanalalamika,inangawa najua wanajua kua madada waliingia choo cha walemavu ikabidi wakojoe wakiwa chini.Kauli ya m, kiti inamponza Halima na bulaya
Natamani mrithi wangu badala yangu atoke bawacha
Kuanzia hapo Halima na bulaya wameanza ukamanda mapema tu
Tatizo sasa ukisha kula cha Arusha ahaa kila mtu kwako ni mtoto
Kaenda kuyakanyaga segerea
Lakini sisi makamanda tumepata funzo ya kwamba atuna jeshi lege lege Tanzania ukileta za kuleta wanakuzima kama mshumaa
Pole sana makamanda wadada
Nimeshuhudia kwa macho yangu makamanda wa kiume wako kwenye mitandao wanacharaza mikwala wadada makamanda wa m, kiti wanapambana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kutegemea mtafanya fujo ili mchangiwe pesa kutunisha mfuko wa mwenyekiti,sasahivi hakuna faini ni kifungo tu,mkuu kuvamia gereza sio kesi ndogo.Inatafutwa kesi hapo kuongeza idadi ya mashtaka,Pesa zipo wasijali watz watachanga tu
Kwa amri yako, ama kwa kosa gani?
Mkuu Cherenganya hawa jamaa wanafanya makusudi ili kupata huruma ya wananchi ila mbinu wanazotumia za hovyo raia tumestuka. Harafu mkuu hilo jina nahisi wewe ni wa kwetu Nyanda za juu kusini,maana kuna kijiji kinaitwa hivyo.Nini kuchana sare hata kusimama tu, eneo ambalo haliruhusiwi na jeshi loloye adhabu yake huwa TEMBO.
By the way, ile xrey ya mkono wa Halima Mdee vp bado inatumika au nayo ime expire?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana makamanda wana ndoa,magereza sio getho kwenu mjifunze mkitoka hospital.Askofu afika na kutoa neno
Duh! Kumbe rahisi hivyo, yaani hakuna kwenda mahakamani, wakitoka hospitali tu ni kufungwa!!!Asante sana kamanda kwa ufafanuzi, wakitoka hopstal wafungwe kabisa
Kweli inasumbua sana na hao hao makamanda walikua jela na walitolewa bila fujo,cha ajabu walipoenda kumchukua kamanda mkuu wakafanya fujo. Hizi ndio akili za makamanda sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mwingine ni ngumu sana kuuaminisha umma mtu aliyeenda kumpokea mtu kufanya fujo na kumchania polisi shati wakati siku chache zilizopita polepole aliyeenda magereza hiyohiyo tena na kuwaalika hadi na waandishi wa habari yeye hakuchana mashati ya polisi hao
Sent using Jamii Forums mobile app