Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Wakati wa utawala wa IDD Amini Dada wa Uganda mambo yalianza hivihivi uongo ukageuka kuwa ukweli,baadaye watu wakazoea, ikawa mateso kwao wananchi ni kitu cha Kawaida na viongozi wa Dini walikaa kimya,lakini baadaye yaliwatokea puani wote,hakuna cha kiongozi wa chama kilichokuwepo madarakani wala raia mwema ikafika mpaka kwa Viongozi wa Dini
 
Pale magereza kuna kikosi kinaitwa KMGM
hao FFU wanasubiri
Dk 5:inatakiwa watu wote wanaofanya fujo wanatakiwa wawe wanaugulia nguvu ya rungu wale awapigi usoni Wanapiga kuanzia kiunoni kushuka chini
Ni kikosi maalum cha magereza Ss wajela jela ukisikia filimbi ya hatari ya magereza unalala kama umekufa awakugusi
Lakini ukijifanya kichaa wanakuvunja kweli kiuno
Ukileta genye magereza Utajikuta mloganzila au jumba leupe la Muhimbili karibu na msikiti na kanisa kkkt..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndiyo waliopewa mafunzo maalum ya kuwaza kwa kutumia makalio???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo cha akwilini serikali imeingiza million 350 hii ya Segerea tena wataingiza bei gan sijui,Jamaa atakuwa keshapatia sababu ya kupigia Pesa tena.Wangeipa hata familiar ya akwilini angalau hata robo tu
 
Mzee mambosasa nakushauri kuwa makini na haya mambo, umekaribia kustaafu basi staafu salama ukalee wajukuu...

Kipimo chako cha mwisho ni namna utakavyo hadle uchaguzi mkuu hasa kwa jiji la DSM...ukiboronga tu basi hukawii na wewe kuwa mshitakiwa!!

Tuko kwenye rada za kimataifa tayari....hili la kina mdee ni kubwa mno ma boss wako wanajua.!!
 
Angeonyesha video au hilo shati lililochanwa ingeleta sound kidogo.
Hakuna mwenye akili timamu aanze kumchania shati askari. Polisi wafanyapo Kazi Wawe wanarecord video kupata ushahid
Pale hawatafuti kiki mkuu hawawezi kuanza kurekodi,pale wanakua wanatekeleza majukumu yao ya kazi,hasa kuzuia wafungwa wasitoroshwe na wahuni wachache wanaojificha kwenye mgongo wa siasa.

macson
 
Kauli ya m, kiti inamponza Halima na bulaya
Natamani mrithi wangu badala yangu atoke bawacha
Kuanzia hapo Halima na bulaya wameanza ukamanda mapema tu
Tatizo sasa ukisha kula cha Arusha ahaa kila mtu kwako ni mtoto
Kaenda kuyakanyaga segerea
Lakini sisi makamanda tumepata funzo ya kwamba atuna jeshi lege lege Tanzania ukileta za kuleta wanakuzima kama mshumaa
Pole sana makamanda wadada
Nimeshuhudia kwa macho yangu makamanda wa kiume wako kwenye mitandao wanacharaza mikwala wadada makamanda wa m, kiti wanapambana..


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makamanda wa kiume ni waoga balaa mkuu,wote wamejaa JF wanalalamika,inangawa najua wanajua kua madada waliingia choo cha walemavu ikabidi wakojoe wakiwa chini.

macson
 
Inasikitisha sana kuwaona viongozi wa chadema wakirudia kosa lilelile!!!!!! Hata hivyo poleni sana kwa kadhia iliyo wapata, ila inatupasa wakati mwengine tujilaumu wenyewe Kwa matendo yetu tunayo yafanya Kwa maksudi na kututumbukiza ktk matatizo.
 
Inatafutwa kesi hapo kuongeza idadi ya mashtaka,Pesa zipo wasijali watz watachanga tu
Endeleeni kutegemea mtafanya fujo ili mchangiwe pesa kutunisha mfuko wa mwenyekiti,sasahivi hakuna faini ni kifungo tu,mkuu kuvamia gereza sio kesi ndogo.

macson
 
Naona wanashindana kutoa taarifa zao. Alianza msemaji wa magereza jana kule dodoma, leo asubuhi kaongea mambosasa, baada ya muda kaongea dr. abbas msemaji wa serikali. Bado tunamsubiria polepole na musiba nao waongee
 
Nini kuchana sare hata kusimama tu, eneo ambalo haliruhusiwi na jeshi loloye adhabu yake huwa TEMBO.

By the way, ile xrey ya mkono wa Halima Mdee vp bado inatumika au nayo ime expire?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Cherenganya hawa jamaa wanafanya makusudi ili kupata huruma ya wananchi ila mbinu wanazotumia za hovyo raia tumestuka. Harafu mkuu hilo jina nahisi wewe ni wa kwetu Nyanda za juu kusini,maana kuna kijiji kinaitwa hivyo.

macson
 
Wakati mwingine ni ngumu sana kuuaminisha umma mtu aliyeenda kumpokea mtu kufanya fujo na kumchania polisi shati wakati siku chache zilizopita polepole aliyeenda magereza hiyohiyo tena na kuwaalika hadi na waandishi wa habari yeye hakuchana mashati ya polisi hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli inasumbua sana na hao hao makamanda walikua jela na walitolewa bila fujo,cha ajabu walipoenda kumchukua kamanda mkuu wakafanya fujo. Hizi ndio akili za makamanda sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]

macson
 
Hawa jamaa wa CHADEMA no sensible person would sympathize with them. They've been pulling up the Victims Card for too long. I have lost the last little bit of respect I used to have for these people. As of today. CHADEMA seems more like a cult movement around their leader Mbowe than a Political party. The people who got beat up knew what they were up against, so basically they got what they deserved for their collective and conscious decision to go against the grain.
 
Back
Top Bottom