liikambako
Member
- Feb 26, 2020
- 35
- 121
Wakati wa utawala wa IDD Amini Dada wa Uganda mambo yalianza hivihivi uongo ukageuka kuwa ukweli,baadaye watu wakazoea, ikawa mateso kwao wananchi ni kitu cha Kawaida na viongozi wa Dini walikaa kimya,lakini baadaye yaliwatokea puani wote,hakuna cha kiongozi wa chama kilichokuwepo madarakani wala raia mwema ikafika mpaka kwa Viongozi wa Dini