bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Chadema ni sikio la kufa Mdee kusema kweli simpendi, kwanza tabia yake ya kutotafuta mwanaume akaolewa alafu atake tumchukulie kama kingozi shupavu inanikera.Huenda itakuwa anawajengea hoja ya kesi nyingine, kwanza ilitoka taarifa huko Dodoma, pili ilitoka taarifa Dar na hii sasa ni ya tatu! Wanausongo na Chadema.
Wafungwa wako nchini ya magereza siyo polisi ambao jukumu lao liliisha siku ya hukumu.
Mdee si mfano bora kwa watoto wetu hasa wa kike na wamama wote kwa nchii.
Mwisho narudia Mbowe hatoshi kuongoza chadema anafanya siasa za kipuuzi sana muda wa kutumia akili yeye ni nguvu bila maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app