Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

Mods huu uzi ni wa kizushi na hauna ushahidi wowote ufuteni na aliye uweka aligwe life ban kwa uzushi na uchochezi.kuna uzi wa maguzu masese umeelezea ki uhalisia jinsi tukio lilivyokua.

Muulize Mawazo na lema maana wamejuta sana kumkatakata kamanda wao mpaka sasa wapo hospital
 
Last edited by a moderator:
Kuna Binadam anaweza pingana na mpango wa Mungu? Chadema nimpango wa Mungu wao wanapesa sisi Tuna Mungu. Peoplesss Makamanda
 
ccm wajinga sana,wamempiga kamanda wetu aliekua amekaa kisa amevaa skafu ya chadema,siku inakuja haina jina chumvi mtaita chunji,hamtakua na meno.
 
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm

Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples
Wewe ---- yako kubwa! Ccm mtupige useme tumejipiga! Nenda katombwe na uoge
 
yani kweli uzi kama huu wa uongo mkubwa bado unaendelea kuwepo?kweli mod wetu mmelala
 

Kamanda Mawazo or muhalifu Mawazo? Na atashikwa tu.
 
Hawa jamaa wameshikwa pabaya hawapumui kabsa.Njombe hapa hapatoshi wanaweweseka na rushwa wanabanwa.Poleni makamanda
 
Hadithi yako ni kama zile za polisi cdm wamejipiga bomu!punguani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…