Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Kwa hiyo Raisi anaachia Magaidi ?
Hizi akili za Maiti utazikuta tu CCM
 
Mwenzetu ulikuwa unafuatilia kesi gani? Maana ya Mbowe, aliyefuta kesi ni DPP. Au DPP naye ni sehemu ya mahakama?
 
Alipewa kesi ya Ugaidi sababu vyombo vya Dola na Mahakama vinafanya kazi kwa maelekezo ya Rais kama ulivyosema. Hata kuachiwa kwake kumetokana na sababu hizo hizo.

Swali muhimu sana ni wewe kujiuliza, lini Taifa hili lilifanyiwa ugaidi na Mbowe?

Inawezekana hapo ulipo wewe ni mmojawapo wa magaidi wa Taifa hili, lkn tuhuma mnawapa wanasiasa wanaowapeleka puta.

Hakuna Taifa Duniani limewapa watu wake maendeleo kwa kuwatesa wapinzani wao wa kisiasa.

Jirekebisheni.
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Pumbavu wewe
 
Serikali ilikuwa inaenda kudhalilika na kesi ile.
 
Kuna vishiria vya wazi vinonyesha ya kuwa uzi huu umeandikwa na Kingai, hapo umekwepa tu kuwazungumzia wale makomandoo.
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Wewe kweli huna akili. Yaani unadhani kungekuwa na ushahidi wa 100% juu ya mbowe wangemwachia ?? Kwa lipi hasa ?? Hivi unajua kuna watu wapo jela wakiwa hawana hatia?

Anyway sijui uwezo wako wa akili na Elimu yako ila you've very poor reasoning and judgment.
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Kwahiyo Gaidi aliachiwa wakati mwengine muwe hata na akili anyway karibuni Kilimanjaro weekend hii
 
Huwezi kuelewa mpaka uwe na Iq kubwa
Kama wewe ni ccm unaiharibia Sana na wenzako humu wenye uwezo mkubwa wa uelewa kama akina Faiza watakuwa Wanaumizwa na upupu huu, maana kama sasa huu umezidi na unathibitisha kuwa TWAWEZA walikuwa sahihi.

Tafsiri ya ulichokiandoka ya moja kwa moja ni kwamba unakiri na kusifia kuwa mahakama Zinafanya kazi kwa shinikizo la Rais. (Haziko huru)

IQ yako ni ndogo Sana na hata haujui maana ya IQ.
 
Haya kanawe miguu upande kitandani ulale.
Unajua nimemsoma nikabaki najiuliza hivi kwa nini huko CCM kumejaa wajinga hivi?
Mbowe hajaachiwa na mahakama kwani haukufika wakati wa hukumu. DPP baada ya kuona hana kesi na akiruhusu utetezi uje mahakamani aibu atakayopata yeye na serikali ni next level.
Sasa hawa WAGAGAGIGIKOKO bado wana hoja za kijinga
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Tambua kuna Taasisi tatu The state,ccm na vyama vya upinzani!!Sasa ishu ya katiba ni ishu ya the state AMBAYO Mbowe ametumwa kuisimamia kipindi hiki!!Samia anajua fika!inner cycle ya ccm inajua hilo!!kuingizwa gerezani kwa Mbowe ni mpango wa ccm kuchelewesha katiba !!hivyo the state haikupendezwa na kitendo kile!!ndio Maana mama hakuwa na Namna zaidi ya kumtoa!!Ndio maana Mbowe hakuwa na wasiwasi anajua anaowatumikia ni wakubwa kuliko serikali ya CCM!!!Hata hivyo mama kawakosea wenye NCHI Hadi Sasa kwa kuchelewesha katiba mpya!!!maagizo aliopewa ndio hayo Baada ya kuapishwa!!!wenye chama wamemponza mama Sana!!ngoja Tuone!!
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Punguza mateso ya moyo mkuu. Utapata "stroke" bure.
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.

Unateseka na maumivu makali hivi tokea pande za wapi?
 
View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?

Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?

Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Mahakama gani? Ilimtia hatiani
 
Back
Top Bottom