Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Bwege wewe Israel awachiwe uwanja na Egypt peke yao, bila kusaidiwa na Nato basi ni siku mbili tu watapotezwa.US na NATO zinamuunga mkono Ukraine ila haijazuia Russia kuitwanga Ukraine, mwanaume anapambana. Kwanini hayo mataifa yote kubwa jinga ya kiarabu yamenywea? Arab League ina mataifa 22 yote yamenywea kwa Israel.
Ikiwa Hamasi anasaidiwa na Nato nzima.
Angalieni mpaa computer mlizo zitengeneza ambazo mnazita clever technology zinawambia nini. wameiondoa ile ya kuhusu dini ya kiyahudi, pia ilijibu Islam ndio dini haswa ya kweli.
View: https://youtube.com/shorts/JuQYMVM4FPI?si=k477NjYWkJnzdbo8