Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

US na NATO zinamuunga mkono Ukraine ila haijazuia Russia kuitwanga Ukraine, mwanaume anapambana. Kwanini hayo mataifa yote kubwa jinga ya kiarabu yamenywea? Arab League ina mataifa 22 yote yamenywea kwa Israel.
Bwege wewe Israel awachiwe uwanja na Egypt peke yao, bila kusaidiwa na Nato basi ni siku mbili tu watapotezwa.

Ikiwa Hamasi anasaidiwa na Nato nzima.

Angalieni mpaa computer mlizo zitengeneza ambazo mnazita clever technology zinawambia nini. wameiondoa ile ya kuhusu dini ya kiyahudi, pia ilijibu Islam ndio dini haswa ya kweli.

View: https://youtube.com/shorts/JuQYMVM4FPI?si=k477NjYWkJnzdbo8
 
Uko sahihi Mkuu, vipi Hezbollah na HAMAS wao nani anawasaidia?
Wewe akili zako nadhani za kitoto sana kama unamini Israel hapewi infomation na badhi ya watu kutoka Lebanon wa kwanza chama cha Samer Jajah, pia internal security ya Lebanon, wako wakristo wengi sana. Pia Sunni badhi yao wana uadui na Hezbullah haswa kiongozi wao Saad Al Harir.

America kila Israel akisha fanya ushenzi anajidai hajui lolote, au hakuhusika,huo ni uwongo wa hali ya juu kabisa. Israel hawezi fanya lolote bila kuchukua amri kutoka kwa US.

Israel kashindwa kumgundua Mohamed Al Dhaifuh yuko wapi na Yahya Sinwar, akajue mkutano unafanyika Lebanon chini ya underground ya lile bulding 😄

Israel kafanikiwa kwa sababu Nato yote inaspy pale Lebanon na hao nilio wataja wahusika juu.

Kama una akili huwezi amini Israel anaona kila kitu bila kusaidiwa na wanafiki huko Lebanon na US na wenzake Western.
 
Bwege wewe US karudisha carries zake mbio mbio zipo kwenye bahari karibu na Lebanon. Afu kuna fununu Internal security ya Lebanon ndio imehusika kuwapa infomation jana Israel. Tulieni huoni leo Israel anajidai hata hataki full scale war na Hezbullah atajua hata auwe viongozi wako walio komao ni balaa zaidi ya hao.
Wazee wa kujifarijii hamkosi cha kusema
 
Uko sahihi Mkuu, vipi Hezbollah na HAMAS wao nani anawasaidia?
Hamasi anasaidiwa na nani na kazungukwa na warabu vibaraka vya US.

Huyo Hezbullah anasaidiwa na Iran tu na kiasi Syria. Utafananisha na hilo taifa la mashoga, mpaa Pager na zile walkie talkies mlisaidiwa kubandika PETN na kina Hungary na Japan 😄 Israel alidhani hio ndio akili hajui dunia nzima wamemuona mjinga kutumia vitu vya mawasiliano kama hivyo kwa njia ya ya terrorist act.
 
All terrorist belongs to hell
 
Attachments

  • IMG_20240921_150616.jpg
    IMG_20240921_150616.jpg
    34.5 KB · Views: 2
Naamini Nasralah huko aliko atakua anasikitika sana Kila sekunde anapewa taarifa mbaya za vifo.
 
Mashindano ya kuwahi bikira yanaendelea

Ndugu zangu ukimuona mtu kamukataa YESU KRISTO huyu mtu mwangalie sana

Hamas na Israel hawa wote wamemkataa YESU KRISTO kwahiyo hiii ni laana yao yenyewe

Kumbuka pia uislam ni laana ukishakuwa mwisilam tiar unakuwa umelaniwa moja moja
Ni kweli kabisa, tumshukuru sana Mungu sisi alietupa neema ya kumkubali mwanae bwana Yesu kristo.
 
All terrorist belongs to hell
Hao sio Wayahudi au Wakristo waogope kufa, wale wenzuni wala hawajui hata nchi yao wapi. Fatilia bibilia au Taurati uone Temple Mount kama ipo Jerusalem hio Temple Mount ipo ndani Yemen. Ndio mana mnasumbuka kuchimba kila kukicha sa mnadhani ipo chini ya Masjid Al Aqsa vichaa kweli nyie.
 
Sawa Hezbullah kakiri Commander wake mmoja kafa na wengine ni wale wa daraja lapili kawatangaza wote hafichi. Nyie tuonyesheni mkuu wa Mossad wa kikosi cha 8200 na wasaidizi wake wako wapi 😄
Wapo Tel aviv
 
Aljazeera english.
Wao huwa wanasema hawaegemei upande wowote kwenye matangazo yao ghafla juzi mtangazaji wao mkuu wa mambo ya kigeni Marwan Bishara kaanza kuongea wazi wazi na kuvutia upande mmoja. 😁 alikuwa anawalaumu Waingereza kwa kuruhusu Wazayuni kukaa karibu na Waarabu.
 
Kwahiyo anafaidi bikira?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hongera Israel kwa kazi nzuri sana.

Tupo nyuma yenu
 
Bwege wewe Israel awachiwe uwanja na Egypt peke yao, bila kusaidiwa na Nato basi ni siku mbili tu watapotezwa.

Ikiwa Hamasi anasaidiwa na Nato nzima.

Angalieni mpaa computer mlizo zitengeneza ambazo mnazita clever technology zinawambia nini. wameiondoa ile ya kuhusu dini ya kiyahudi, pia ilijibu Islam ndio dini haswa ya kweli.

View: https://youtube.com/shorts/JuQYMVM4FPI?si=k477NjYWkJnzdbo8

Yohana 14:6-...SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
YESU ndiyo kweli yenyewe, ukisema Uislam ndiyo dini ama njia ya kweli sisi tunakushangaa tunakuona wewe umepotoka..
Yesu ni Njia,na Kweli na Uzima...njoo kwa Yesu ili upate kuijua kweli,upate uzima wa milele.
 
Wapo Tel aviv
Empty space ya leo hio

View: https://youtu.be/xbjxKgZ6FyE?si=cenUfJOYLr74V08x

Israel anashangaa alidhani akiwauwa hao macommander kwa kusaidiwa na US na Nata na wanafiki wake Lebanon ataivunja morale ya Hezbolla, kumbe wapi leo Hezbullah wameisha watangaza macommander walio shika hizo sehemu badala ya walio kufa. Mpaa Israel wanachangan'yikiwa hawajui wafanye nini, vitu vinashuka huko Israel.
 
Yohana 14:6-...SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
YESU ndiyo kweli yenyewe, ukisema Uislam ndiyo dini ama njia ya kweli sisi tunakushangaa tunakuona wewe umepotoka..
Yesu ni Njia,na Kweli na Uzima...njoo kwa Yesu ili upate kuijua kweli,upate uzima wa milele.
Kila Mtume alikuja kwa wakati wake hata Nabii Mussa ndio ilikuwa njia ya kwenda kwa Mungu wakati wake, Nabii Ibrahim pia na kila Mitume wa Mungu ndio njia ya Mungu nasisi Mtume Muhammad ndio njia ya peke kwenda kwa Mungu. Afu Yesu alitumwa kwa kondoo wa kiyahudi wewe ni kondoo wa kiyahudi, au Yesu ni muongo??
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior operatives slain in Israeli strikes as commanders.

Hezbollah says Wahabi was the head of the terror group’s “central training unit,” and was previously a top commander in the elite Radwan Force. Like other Hezbollah officers, Wahabi was also involved in fighting for the Assad regime in Syria during the civil war.

Reuters

Wayahudi tokea wamsulubishe Yesu, niliwaona kabisa sio watu wa kawaida, as we speak i bet, Iran, Hezbollah, Yemen, all watasulubiwa vibaya sana, sbb wayahudi wana akili nyingi sana Mungu kawajalia hivyo..!!
 
Kila Mtume alikuja kwa wakati wake hata Nabii Mussa ndio ilikuwa njia ya kwenda kwa Mungu wakati wake, Nabii Ibrahim pia na kila Mitume wa Mungu ndio njia ya Mungu nasisi Mtume Muhammad ndio njia ya peke kwenda kwa Mungu. Afu Yesu alitumwa kwa kondoo wa kiyahudi wewe ni kondoo wa kiyahudi, au Yesu ni muongo??

JIBU LA KWANI MIMI NI KONDOO YUPI? SOMA HAPO CHINI​

Yohana 10:16 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Kwetu hakuna njia nyingine zaidi ya YESU. Kimaandiko hata Ibrahim ama Musa,Isaka ama Yakobo,Nuhu hawakuwa njia...Njia ni moja tuuu YESUUUU.
 
Back
Top Bottom