Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

JIBU LA KWANI MIMI NI KONDOO YUPI? SOMA HAPO CHINI​

Yohana 10:16 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Kwetu hakuna njia nyingine zaidi ya YESU. Kimaandiko hata Ibrahim ama Musa,Isaka ama Yakobo,Nuhu hawakuwa njia...Njia ni moja tuuu YESUUUU.
Kweli kondoo mnapotezwa vibaya sana kwa hio wafuasi wa Ibrahim, Mussa, Yakobo wote ni motoni tu 😄
 
Wayahudi tokea wamsulubishe Yesu, niliwaona kabisa sio watu wa kawaida, as we speak i bet, Iran, Hezbollah, Yemen, all watasulubiwa vibaya sana, sbb wayahudi wana akili nyingi sana Mungu kawajalia hivyo..!!
Hapa sio kweli. Hawakufanya hivyo japo hawakumwamini.
 
Saudi channel Al-Arabia "After pager explosions, electric cars become ticking bombs."
 
Hamasi anasaidiwa na nani na kazungukwa na warabu vibaraka vya US.

Huyo Hezbullah anasaidiwa na Iran tu na kiasi Syria. Utafananisha na hilo taifa la mashoga, mpaa Pager na zile walkie talkies mlisaidiwa kubandika PETN na kina Hungary na Japan 😄 Israel alidhani hio ndio akili hajui dunia nzima wamemuona mjinga kutumia vitu vya mawasiliano kama hivyo kwa njia ya ya terrorist act.
Hamas has been sending kites booby trapped with explosives into Israel for years.
These “terror kites” are purposely designed to attract Israeli children in the hope they will find the IED rigged kites and be killed. So-called “int’l law” experts like AOC had no problem with terrorists booby trapping actual children’s toys to target Jewish children.

They only have a problem when Israel booby traps military communications devices to target Hezbollah terrorists.
 
Empty space ya leo hio


View: https://youtu.be/xbjxKgZ6FyE?si=cenUfJOYLr74V08x

Israel anashangaa alidhani akiwauwa hao macommander kwa kusaidiwa na US na Nata na wanafiki wake Lebanon ataivunja morale ya Hezbolla, kumbe wapi leo Hezbullah wameisha watangaza macommander walio shika hizo sehemu badala ya walio kufa. Mpaa Israel wanachangan'yikiwa hawajui wafanye nini, vitu vinashuka huko Israel.

Nasrallah is taunting Israel to BRING IT ON, by saying: 'The enemy declares as its official goal, "to return the settlers to the North", we have ACCEPTED the CHALLENGE; you will NOT be able to return to the North'

The only way they will be able to return is to end the war in Gaza and the WEST BANK. 🚨 Note: The addition of the WEST BANK is new and practically ensures a WIDER WAR with Israel 🇮🇱 'In fact, we will displace MORE Israelis from their homes'

'we HOPE Israel enters Lebanon, we are waiting for their TANKS day and night, we say "WELCOME!" 🔻

"We consider any entry into Lebanese territory a HISTORIC opportunity that will have MAJOR EFFECTS on the BATTLE."

His last threat…“Israel WILL RECEIVE the response that it has NOT SEEN since its establishment." 🚀🚀🚀
 
Utakuwa wewe ni MP ulienda lebanon kulinda aman. Huna lolote fool
Ila Lebanon huwa sipendi kabisa iingie kwenye mgogoro na Israel niliishi hapo 2017 wakaniuzia viatu from handmade hivi havitakuja kuisha huwa naviacha na kuvirudia ni watu poa sana
 
Allah na Mtume Muhammad sio unavyo ongea wewe fala. Nyie mungu wenu sialipigiliwa msalabani afu akafaa? mmesahau sio, kuna mungu dhaifu kama huyo wakikristo.

Hata ngo'mbe angepambana pale bora hata mungu wa kihindi ngo'mbe, huwezi mpigilia misumari kiulaini vile.
Sometime mnanchanganya sana, mara Yesu ni nabii wenu pia ametajwa kwenye kuruani mara mumkejeli. Hii kitaalamu tuite vipi?
 
Wiki hii Hezbollah wamepoteza watu wengi sana hasa viongozi bila shaka kuna usaliti ndani kwa ndani
 
Saint Anno II mbona unashangaa kwa kauli hii, una swali?
Mimi nimeshangaa uliposema hawakumsulubisha Yesu wakati watu kwa imani zao wamekuwa wakiamini hivyo.

By the way,kila mmoja ana imani yake na ana namna alivyofundishwa na akaamini so sitakuwa na swali kwako zaidi tuendelee kujifunza yanayoendelea hapa.
 
Motoni kume pamba moto🔥🔥mabikra 72 wana letewa watomb**ji tuu..
 

Attachments

  • IMG_20240921_191817.jpg
    IMG_20240921_191817.jpg
    105.5 KB · Views: 1
  • IMG_20240921_191811.jpg
    IMG_20240921_191811.jpg
    38.8 KB · Views: 1
  • IMG_20240921_191809.jpg
    IMG_20240921_191809.jpg
    44.8 KB · Views: 1
  • IMG_20240921_185247.jpg
    IMG_20240921_185247.jpg
    122.3 KB · Views: 1
Mimi nimeshangaa uliposema hawakumsulubisha Yesu wakati watu kwa imani zao wamekuwa wakiamini hivyo.

By the way,kila mmoja ana imani yake na ana namna alivyofundishwa na akaamini so sitakuwa na swali kwako zaidi tuendelee kujifunza yanayoendelea hapa.
Sheria ya Musa (wayahudi) ni kupigwa mawe mpaka kufa kama alivyofanyiwa Stephan
Sheria ya Rumi ni kutundika mtini kama alivyofanyiwa Yesu.
Kosa la myahudi ni kutomtambua Yesu. Kuhusu kutoa ushirikiano kwa Warumi, ni kwa vile walikuwa watawala wao. Bye
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior operatives slain in Israeli strikes as commanders.

Hezbollah says Wahabi was the head of the terror group’s “central training unit,” and was previously a top commander in the elite Radwan Force. Like other Hezbollah officers, Wahabi was also involved in fighting for the Assad regime in Syria during the civil war.

Reuters
Hawa wayahudi ni ***** zao yaan wanatupa furaha kwa moyo. Kung'uta magaidi haswaa
 
😂😂😂😂hizi kamanda Fulani ameuawa sijui na nin hizi mbona kila siku
 
Back
Top Bottom