kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Kumbe ni 72 sio 15Amewahi mabikira 72
Asee nimemuhujumu sana huyu mwambaa
Naomba radhi kwa wanajukwaaa
Kwa kuandika uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni 72 sio 15Amewahi mabikira 72
Kweli kondoo mnapotezwa vibaya sana kwa hio wafuasi wa Ibrahim, Mussa, Yakobo wote ni motoni tu 😄JIBU LA KWANI MIMI NI KONDOO YUPI? SOMA HAPO CHINI
Yohana 10:16 SUV
BHNSUVNenoSRUV
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Kwetu hakuna njia nyingine zaidi ya YESU. Kimaandiko hata Ibrahim ama Musa,Isaka ama Yakobo,Nuhu hawakuwa njia...Njia ni moja tuuu YESUUUU.
Hapa sio kweli. Hawakufanya hivyo japo hawakumwamini.Wayahudi tokea wamsulubishe Yesu, niliwaona kabisa sio watu wa kawaida, as we speak i bet, Iran, Hezbollah, Yemen, all watasulubiwa vibaya sana, sbb wayahudi wana akili nyingi sana Mungu kawajalia hivyo..!!
Hamas has been sending kites booby trapped with explosives into Israel for years.Hamasi anasaidiwa na nani na kazungukwa na warabu vibaraka vya US.
Huyo Hezbullah anasaidiwa na Iran tu na kiasi Syria. Utafananisha na hilo taifa la mashoga, mpaa Pager na zile walkie talkies mlisaidiwa kubandika PETN na kina Hungary na Japan 😄 Israel alidhani hio ndio akili hajui dunia nzima wamemuona mjinga kutumia vitu vya mawasiliano kama hivyo kwa njia ya ya terrorist act.
Empty space ya leo hio
View: https://youtu.be/xbjxKgZ6FyE?si=cenUfJOYLr74V08x
Israel anashangaa alidhani akiwauwa hao macommander kwa kusaidiwa na US na Nata na wanafiki wake Lebanon ataivunja morale ya Hezbolla, kumbe wapi leo Hezbullah wameisha watangaza macommander walio shika hizo sehemu badala ya walio kufa. Mpaa Israel wanachangan'yikiwa hawajui wafanye nini, vitu vinashuka huko Israel.
Naijua mkuu ila mbona hiyo budget ongeza na ya NATO haikumtisha Russia kule Ukraine?We unaijua bajeti ya kijeshi ya Marekani kwa mwaka
Walisha barikiwa chochote watakachokifanya kina kibali mbele za MunguKa-nchi kadogo lakini shughuli yake kubwa. Ukanda mzima umenywea. Hakuna jirani anafungua mdomo.
View attachment 3101855
Ila Lebanon huwa sipendi kabisa iingie kwenye mgogoro na Israel niliishi hapo 2017 wakaniuzia viatu from handmade hivi havitakuja kuisha huwa naviacha na kuvirudia ni watu poa sana
Sometime mnanchanganya sana, mara Yesu ni nabii wenu pia ametajwa kwenye kuruani mara mumkejeli. Hii kitaalamu tuite vipi?Allah na Mtume Muhammad sio unavyo ongea wewe fala. Nyie mungu wenu sialipigiliwa msalabani afu akafaa? mmesahau sio, kuna mungu dhaifu kama huyo wakikristo.
Hata ngo'mbe angepambana pale bora hata mungu wa kihindi ngo'mbe, huwezi mpigilia misumari kiulaini vile.
Saint Anno II mbona unashangaa kwa kauli hii, una swali?Hapa sio kweli. Hawakufanya hivyo japo hawakumwamini.
Mimi nimeshangaa uliposema hawakumsulubisha Yesu wakati watu kwa imani zao wamekuwa wakiamini hivyo.Saint Anno II mbona unashangaa kwa kauli hii, una swali?
Sheria ya Musa (wayahudi) ni kupigwa mawe mpaka kufa kama alivyofanyiwa StephanMimi nimeshangaa uliposema hawakumsulubisha Yesu wakati watu kwa imani zao wamekuwa wakiamini hivyo.
By the way,kila mmoja ana imani yake na ana namna alivyofundishwa na akaamini so sitakuwa na swali kwako zaidi tuendelee kujifunza yanayoendelea hapa.
Hawa wayahudi ni ***** zao yaan wanatupa furaha kwa moyo. Kung'uta magaidi haswaaWadau hamjamboni nyote?
Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior operatives slain in Israeli strikes as commanders.
Hezbollah says Wahabi was the head of the terror group’s “central training unit,” and was previously a top commander in the elite Radwan Force. Like other Hezbollah officers, Wahabi was also involved in fighting for the Assad regime in Syria during the civil war.
Reuters
Ndio kazi yangu cleverUtakuwa wewe ni MP ulienda lebanon kulinda aman. Huna lolote fool