Kamanda Muliro kajichanganya kuhusu sakata la Sativa kwenye Kongamano la TLS?

Huyu polisi hajui anapaswa kufanya nini.
 
Mnamkumbuka yule mamboyazamani alisema cctv kamera ililifuatilia gari toka Ostabei mpaka Mwenge kisha gari likapotea! Hiyo ni cctv kamera inayotembea barabarani.
 
Ningekuwa Nina mamlaka ningekataza kabisa polisi wangu au vyombo vyangu vya usalama kuhudhuria hii mikutano inayoanzishwa na hawa simbilisi wenye mafungamano na chadema. Kwao hawana jema hawa, Kila kitu watapinga na watajivua ufahamu wote kadiri mbowe au lissu watakavyoamrisha.

Muliro Hana haja ya kumaliza his beautiful time kuwaelekeza chochote hao wanafiki wasiobebeka......atulie kituoni awasubiri katika maandamano awasambaratishe.
 
Afande Muliro ametusaidia kujua sasa tena kwa uhakika kuwa kuna CCM kama chama na kuna CCM nyingine ambayo ni Dola. Kwa upande mwingine ipo Police na PoliCCM. Hizi ni taasisi ambazo zinaonekana kukinzana katika utendaji wake.
 
Ndo maana huna hayo mamlaka.Akili zako ni uozo mtupu.
 
Hapa ndio unaona umetupoteza maboya ile mbaya. Ww lazima utakuwa ni mzee, maana wazee ndio huwa wana story za hivi wakiamini wanaweza kuchanganya watu. Ni hivi, watekaji ni vyombo vya dola kwa maagizo ya rais, na wanapata kinga ya kufanya huo uovu kupitia sheria mpya ya usalama wa taifa.
 
Uko sahihi, maana hakuna jambo gumu kama kutetea uovu. Leo Muliro amejikuta kwenye wakati mgumu maana alikuwa anajaribu kutetea uovu unaofanywa na vyombo vya dola. Huu ushauri wako ni sahihi maana polisi kushiriki kwenye hii midahalo ni kukubali kuanika uovu wao hadharani.
 

Inasikitisha Sana mkuu.
 
Upelezi unaendelea kujua kama ni inside Job ndani ya Chadema au Boni yai yuko ndani na Mnyika kajifungia kanisani hataki kwenda polisi kuhojiwa polisi wanamsubiri asaidie upelelezi akitoka huko kanisani alikojifungia

Punguza mizaha kwenye issue serious. Tatizo lako unaiabudu CCM mpaka utu umekuondoka. Unaona raia wengine wasio na vyama sio watanzania.
 
Kwamba Polisi wamtoe Dsm wampeleke Arusha na baadae Katavi, Kwa lipi yaani? Sativa yafaa aseme ukweli nini kilisababisha kukutwa Hifadhini Katavi

Ukweli utapatikana wakikamatwa wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…