Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweli juu ya ukweli aliouongea?Kwamba Polisi wamtoe Dsm wampeleke Arusha na baadae Katavi, Kwa lipi yaani? Sativa yafaa aseme ukweli nini kilisababisha kukutwa Hifadhini Katavi
Ngoja nipite hivi kumbe anga hili ni la chadema.......ni eneo lao la kufarijiana na kushinikiza Kila kihoja walichokikamata kwa ajili ya kudivert attention. Mungu nisamehe lakini naamini cdm inahusika na utekaji na nguvu hizi unazoziona ni kwa ajili ya kupoteza maboya sababu ni rahisi kwa wasiofikiri sawasawa (wajinga) kuamini na kulizoza jeshi.....,.......hivi huko waliko kina mbowe na lissu wanagonga glass ya mvinyo tu na kuagiza kilos za kitimoto kujipongeza.Uko sahihi, maana hakuna jambo gumu kama kutetea uovu. Leo Muliro amejikuta kwenye wakati mgumu maana alikuwa anajaribu kutetea uovu unaofanywa na vyombo vya dola. Huu ushauri wako ni sahihi maana polisi kushiriki kwenye hii midahalo ni kukubali kuanika uovu wao hadharani.
Bado sana ndugu, una uongeaji na uchambuzi wa kichekechea.Kuna ukweli juu ya ukweli aliouongea?
Binadamu tu wabinafsi sana, angelikuwa ni mtoto wako wa kuzaa katendewa hayo, kisha aje kukusimulia, ungeliropoka kama ulivyoandika hapa.
Kama aliamua kusema uongo, mbona Mafwele hajatoka hadharani kupinga na kum sue huyo Sativa kwa kumchafua?
Hao washikaji walipomteka halafu wakampeleka kituo cha polisi Osterbay?Ukimsikiliza vizuri Sativa hajatekwa na Polidi
Polisi hawa wa Tanzania wahangaike na mtu kuanzia Dar wazurure naye karibu nusu ya nchi halafu wakamtupe Katavi
Sidhani polisi wa Tanzania if they mean business wana muda huo
Huyo Sativa Inaonyesha hao watu walikuwa wanajuana na walikuwa na deal zao labda alipewa madawa ya kulevya au madini auze kwa matajiri kisha awape pesa zao wakatofautiana mbele ya safari.
Huo mzunguko kutoka Dar to Arusha then huko kwingine may be aliwazulumu akawa anawadanganya kuwa hayajauzika na mhusika mara yuko Arusha mara sijui yuko mkoa gani baadaye wakaona anawapootezea muda na gharama.Wakashughulika naye.
Hadithi yake ukimsikiliza polisi anawabambikia kesi tu polisi kwa kushawishiwa na wanasiasa tu Lakini anachoongea ukisikiliza kwa makini unaona wazi kuna kitu anaficha
Watu wanalinda vyeo kwa gharama yoyote ile Murilo akistaafucataona aibu sana kuongea upumbavu mtu mzima mbelevya watoto na jamii yake kwa ujumla Umaskini wa familia mbaya sana.Leo kwenye Kongamano la TLS kuhusu utekaji na kupotea Kwa raia, Kamanda Muliro amejichanganya kwa kuelezea kuhusu suala la Sativa.
1. Kwanza, amekiri kwamba Sativa kabla ya kuhojiwa alikiri kuwa anamjua aliyemteka.
2. Pili, Kamanda Muliro amedai ya kwamba baada ya kauli ya Sativa , alitokea mtu anayejiita whistleblower kwenye mtandao wa x zamani Twitter na kuelezea kuwa aliyemteka Sativa alikuwa ni mtu Fulani.
3. Tatu, Kamanda Muliro kadai ya kwamba walipomhoji Sativa alikiri kwamba akitekwa na washkaji Fulani hivi.
4. Nne, Kamanda Muliro amedai kuwa baada ya mahojiano ameshangaa kusikia stori tofauti ya Sativa kwamba alitekwa na Mafwele.
5. Tano, kamanda Muliro amedai kwamba suala la Sativa linafanyiwa upelelezi na kwamba Kuna wanasheria na wataalamu wanalifuatilia Hilo jambo kwa kina.
6. Mwisho, Kamanda Muliro kadai ya kwamba wao ndio walimuokoa Sativa, Jambo ambalo ukumbi mzima ulipinga kwa mshangao.
Swali linakuja Kamanda Muliro anadai kwamba walimuokoa Sativa, je walimuokoa kutoka wapi na dhidi ya nani. Je nani aliwapa taarifa ya kwenda kumuokoa? Kama waliweza kwenda kumuokoa wanashindwaje kumkamata muhusika. Kwakweli hapa ndipo tatizo lipo. Halafu Cha kusikitisha jeshi la polisi wapo kwenye uchunguzi wa kina huku mtuhumiwa mkuu ndio ZCO wa Dar es Salaam. Huo ni upelelezi au komedi. Ilitakiwa Mafwele apelekwe likizo ya muda kupisha upelelezi na si vingine.
Pia Kamanda Muliro kadai ya kwamba Sativa alidai ya kwamba katekwa na Washkaji na sio mafwele. Sasa ni kwanini jeshi la polisi linatumia nguvu nyingi kudai hajatekwa na Mafwele baadala ya kuwakamata hao washkaji waliotajwa?. Kama jeshi la polisi linaamini alitekwa na washkaji, ni kwanini inakuwa ngumu kuwakamata Hawa washkaji?. Kama washkaji wa mtaani ni ngumu kuwakamata je polisi wataweza kumkamata nani?.
Mwisho, Napenda kumshauri Kamanda Muliro awe Neutral asioneshe upande wake. Leo ni kama alijipanga kuja kupambana na sio kuleta suluhisho au kuleta mpango wa Jeshi la polisi DSM kupambana na utekaji. Pia ni muhimu kukiri mapungufu kwenye jeshi la polisi hasa kwenye utekaji.
Hebu acha ushabiki wa kipumbavu!Ukimsikiliza vizuri Sativa hajatekwa na Polidi
Polisi hawa wa Tanzania wahangaike na mtu kuanzia Dar wazurure naye karibu nusu ya nchi halafu wakamtupe Katavi
Sidhani polisi wa Tanzania if they mean business wana muda huo
Huyo Sativa Inaonyesha hao watu walikuwa wanajuana na walikuwa na deal zao labda alipewa madawa ya kulevya au madini auze kwa matajiri kisha awape pesa zao wakatofautiana mbele ya safari.
Huo mzunguko kutoka Dar to Arusha then huko kwingine may be aliwazulumu akawa anawadanganya kuwa hayajauzika na mhusika mara yuko Arusha mara sijui yuko mkoa gani baadaye wakaona anawapootezea muda na gharama.Wakashughulika naye.
Hadithi yake ukimsikiliza polisi anawabambikia kesi tu polisi kwa kushawishiwa na wanasiasa tu Lakini anachoongea ukisikiliza kwa makini unaona wazi kuna kitu anaficha
Unaonekana muelewa Kumbe mpiga debe mshamba!Hoja za kipunguani!Ngoja nipite hivi kumbe anga hili ni la chadema.......ni eneo lao la kufarijiana na kushinikiza Kila kihoja walichokikamata kwa ajili ya kudivert attention. Mungu nisamehe lakini naamini cdm inahusika na utekaji na nguvu hizi unazoziona ni kwa ajili ya kupoteza maboya sababu ni rahisi kwa wasiofikiri sawasawa (wajinga) kuamini na kulizoza jeshi.....,.......hivi huko waliko kina mbowe na lissu wanagonga glass ya mvinyo tu na kuagiza kilos za kitimoto kujipongeza.
Ingekuwa cdm ndio wanateka wangekuwa washawekwa wazi muda mrefu. Kama mnawabambikia kesi, mkipata tukio halisi si ndio mngepata pa kushikia?Ngoja nipite hivi kumbe anga hili ni la chadema.......ni eneo lao la kufarijiana na kushinikiza Kila kihoja walichokikamata kwa ajili ya kudivert attention. Mungu nisamehe lakini naamini cdm inahusika na utekaji na nguvu hizi unazoziona ni kwa ajili ya kupoteza maboya sababu ni rahisi kwa wasiofikiri sawasawa (wajinga) kuamini na kulizoza jeshi.....,.......hivi huko waliko kina mbowe na lissu wanagonga glass ya mvinyo tu na kuagiza kilos za kitimoto kujipongeza.
Huna akili.Upelezi unaendelea kujua kama ni inside Job ndani ya Chadema au Boni yai yuko ndani na Mnyika kajifungia kanisani hataki kwenda polisi kuhojiwa polisi wanamsubiri asaidie upelelezi akitoka huko kanisani alikojifungia
Mulilo anadhani anaongea na wajinga! Kama ingelikuwa nchi za demokrasi ya utawala wa sheria such USA and the like countries, jana mulilo angalilala kwenye mikoni ya FBI/CIA/MOSAD/Scotland yard and the likeLeo kwenye Kongamano la TLS kuhusu utekaji na kupotea Kwa raia, Kamanda Muliro amejichanganya kwa kuelezea kuhusu suala la Sativa.
1. Kwanza, amekiri kwamba Sativa kabla ya kuhojiwa alikiri kuwa anamjua aliyemteka.
2. Pili, Kamanda Muliro amedai ya kwamba baada ya kauli ya Sativa , alitokea mtu anayejiita whistleblower kwenye mtandao wa x zamani Twitter na kuelezea kuwa aliyemteka Sativa alikuwa ni mtu Fulani.
3. Tatu, Kamanda Muliro kadai ya kwamba walipomhoji Sativa alikiri kwamba akitekwa na washkaji Fulani hivi.
4. Nne, Kamanda Muliro amedai kuwa baada ya mahojiano ameshangaa kusikia stori tofauti ya Sativa kwamba alitekwa na Mafwele.
5. Tano, kamanda Muliro amedai kwamba suala la Sativa linafanyiwa upelelezi na kwamba Kuna wanasheria na wataalamu wanalifuatilia Hilo jambo kwa kina.
6. Mwisho, Kamanda Muliro kadai ya kwamba wao ndio walimuokoa Sativa, Jambo ambalo ukumbi mzima ulipinga kwa mshangao.
Swali linakuja Kamanda Muliro anadai kwamba walimuokoa Sativa, je walimuokoa kutoka wapi na dhidi ya nani. Je nani aliwapa taarifa ya kwenda kumuokoa? Kama waliweza kwenda kumuokoa wanashindwaje kumkamata muhusika. Kwakweli hapa ndipo tatizo lipo. Halafu Cha kusikitisha jeshi la polisi wapo kwenye uchunguzi wa kina huku mtuhumiwa mkuu ndio ZCO wa Dar es Salaam. Huo ni upelelezi au komedi. Ilitakiwa Mafwele apelekwe likizo ya muda kupisha upelelezi na si vingine.
Pia Kamanda Muliro kadai ya kwamba Sativa alidai ya kwamba katekwa na Washkaji na sio mafwele. Sasa ni kwanini jeshi la polisi linatumia nguvu nyingi kudai hajatekwa na Mafwele baadala ya kuwakamata hao washkaji waliotajwa?. Kama jeshi la polisi linaamini alitekwa na washkaji, ni kwanini inakuwa ngumu kuwakamata Hawa washkaji?. Kama washkaji wa mtaani ni ngumu kuwakamata je polisi wataweza kumkamata nani?.
Mwisho, Napenda kumshauri Kamanda Muliro awe Neutral asioneshe upande wake. Leo ni kama alijipanga kuja kupambana na sio kuleta suluhisho au kuleta mpango wa Jeshi la polisi DSM kupambana na utekaji. Pia ni muhimu kukiri mapungufu kwenye jeshi la polisi hasa kwenye utekaji.
Kuna ukweli juu ya ukweli aliouongea?
Binadamu tu wabinafsi sana, angelikuwa ni mtoto wako wa kuzaa katendewa hayo, kisha aje kukusimulia, ungeliropoka kama ulivyoandika hapa.
Kama aliamua kusema uongo, mbona Mafwele hajatoka hadharani kupinga na kum sue huyo Sativa kwa kumchafua?
Ngoja nipite hivi kumbe anga hili ni la chadema.......ni eneo lao la kufarijiana na kushinikiza Kila kihoja walichokikamata kwa ajili ya kudivert attention. Mungu nisamehe lakini naamini cdm inahusika na utekaji na nguvu hizi unazoziona ni kwa ajili ya kupoteza maboya sababu ni rahisi kwa wasiofikiri sawasawa (wajinga) kuamini na kulizoza jeshi.....,.......hivi huko waliko kina mbowe na lissu wanagonga glass ya mvinyo tu na kuagiza kilos za kitimoto kujipongeza.
Mulilo anadhani anaongea na wajinga! Kama ingelikuwa nchi za demokrasi ya utawala wa sheria such USA and the like countries, jana mulilo angalilala kwenye mikoni ya FBI/CIA/MOSAD/Scotland yard and the like
Kwahiyo washikaji ndio walimpeleka kitua cha Oysterbay? stupid mind!