Kamanda Muliro kajichanganya kuhusu sakata la Sativa kwenye Kongamano la TLS?

Punguza siasa na unafiki. Kwako chama ni muhimu kuliko ubinadamu?. Kama CHADEMA wamehusika si wakamatwe. Watu 84 wamepoteza mpaka Sasa hawajulikani waliopo, halafu wewe unaleta mambo ya CHADEMA.
Kataa kwa nguvu unavyoweza lakini ukweli ndiyo huo; Kuna ,atukio yanapangwa kisiasa. Nimeshaunganisha dots na kupata majibu........siku Moja Mungu atamuumbua mtu.
 
Ingekuwa cdm ndio wanateka wangekuwa washawekwa wazi muda mrefu. Kama mnawabambikia kesi, mkipata tukio halisi si ndio mngepata pa kushikia?
Ndo maana, kwa nguvu kubwa, tena kwa ushirikiano na mawakala wao kama hao tls, Kuna kasi ya ajabu ya kuwahusisha polisi kwa haraka sana Ili muradi kuvuruga Hali......mara maandamano mara sijui makongamano n.k. Unajua maana yake ewe brainless nyumbu?!!! Hapo polisi wamewekewa kigingi Ili lionekane lolote watakalolisema basi ionekane ni uongo.
 
Siku nikisikia police wamekufa nitaenda kutoa sadaka.....
Tena mate chini muulize Malisa mwanachadema mwenzio alikuwa akitukana polisi kuna siku majambazi ya kichaga yakazingira nyumba yake .akaanza kuhaha kupiga kelele majirani hawatoki kumsaidia akatafuta namba za polisi kuomba msaada huku akilia .

Defender ikafika kumsaidia akashukuru toka hapo huji.msikia akitukana polisi

Hayajakukuta wewe utajinyea hadharani
 
Acha uongo wewe hukwenda kusomea uongo

Wazazi wako walipoteza pesa kukusomesha
USA maraisi walishauawa vifo vya kutatatanisha tena wakiwa madarakani na ulinzi juu wa CIA na FBI

Donald Trump tu hapo katwangwa risasi huku kazungukwa ns wote FBI na CIA mara mbili
 
Hao washikaji walipomteka halafu wakampeleka kituo cha polisi Osterbay?
Hadithi ya kutunga hiyo wangekuwa na haja ya kumalizana naye eangemuua hapohapo osterbay polisi na kwenda mtupa hata baharini huko .Wasingehangaika naye kumxungusha mikoa yote hiyo

Hii kesi ya Sativa imeonyesha wazi kuna baadhi ya watanzania akili zao finyu mno tena wengine wasomi kuwa hawawezi kushirikisha hata ubongo wao kutafakari kwa kina hicho anachoongea huyo Sativa

Mtu anayeunga mkono alichoongea Sativa anabidi awahi mirembe akapimwe afya ya akili.Kuna nyuzi kichwani jwenye mishipa ya akili naye haziko sawa
 
Waongo Sana. Mtu anadai wao ndio waliomwokoa sativa hapo hapo anadai wapo kwenye upelelezi mkali kumkamata muhusika wa utekaji wa Sativa. Yani walishindwa kumkamata wakati wanamwokoa waje wamakamate Sasa hivi? Muongo sana.
Tawala za Kikomunisti/Ujamaa duniani kote kabisa huwa haZijubaliki na Wananchi walio wengi zaidi katika nchi husika, hivyo Basi, existence ya tawala hizo hutegemea zaidi uwepo wa Majeshi ili kuwalazimisha Wananchi waukubali utawala hata kama dhamiri zao hazitaki.
 
Nasema, Acha nife. Mwenyekiti wa CCM ameshasema kufa ni kufa Tu.
 
Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua polisi na vyombo vingine vya dola ndio vinaendesha uovu dhidi ya wapinzani. Body language ya huyo Muliro inadhibitisha polisi ndio wahusika.
 
B
Huhitaji elimu ya chuo kikuu kujua polisi na vyombo vingine vya dola ndio vinaendesha uovu dhidi ya wapinzani. Body language ya huyo Muliro inadhibitisha polisi ndio wahusika.
Body language?!!!! Ni hilo tu basi?!! Kama ni hivyo hata Mimi naweza kusema lile kengeza la mbowe ukiliangalia kwa umakini unaona kabisa linahusika na utekaji.
 
B

Body language?!!!! Ni hilo tu basi?!! Kama ni hivyo hata Mimi naweza kusema lile kengeza la mbowe ukiliangalia kwa umakini unaona kabisa linahusika na utekaji.
Usingepanick ningeshangaa sana😂 Ni hivi, polisi ndio wahusika fullstop. Hutaki jinyonge.
 
Usingepanick ningeshangaa sana😂 Ni hivi, polisi ndio wahusika fullstop. Hutaki jinyonge.
Yaani Mimi wanipanikishe nyumbu?!!!! Over my body dead (in jpm' s voice). On contrary, wewe ndo umepanic
 
Hao badaye huwa wanaishi kwa tabu sana

Ova
 
Mimi naamini kuwa anayepinga ayasemayo muathirika basi ni miongoni mwa waliokuwa wakimzungusha na kumpeleka mpaka KATAVI hasa kwa kuzingatia yule jamaa wa HAMDENI alivyokuwa akitafutwa vituo vya polisi bila mafanikio na polisi kukana kumshikiria lkn siku 29 baadae wakakiri kumshikilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…