Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Huyo hana macho ,bali vidonda mahala pa macho.
 
Uza ubongo huo maana unaumiliki kwa hasara dogo, hii ni nchi ya kidemokrasia na sio ya kijeshi. Kwenye ushindani wa kisiasa ni lazima uaminike.
Unavaa uhusika usiokufaa. Neno dogo labda kama umetumia kigezo cha wakati wa kujiunga Jf hata hivyo kwenye makaratasi hii ni nchi ya kidemokrasia ndio upo sahihi. Kuaminika na wananchi hakukupi hii nchi labda kama una sauti ya kuwafanya wakuingize kwenye mamlaka kwa nguvu. Kinyume na hapo we we aminika tu lakini tii mamlaka iliyopo.
 
Kaka unaongea as if unaishi nje ya afrika hivi kwa mfumo huu wa kiutawala TZ ile 2015 isingekuwa wafuasi wa upinzani kulinda kura nadhani kungekuwa Hanna mbunge hata 1 wa upinzani bungeni
Mkuu, kazi ya mnufaika ni kujitoa ufahamu kama huyo jamaa.
 
akili yako wajua kulinda kura unakaa ndani ya chumba cha kupigia kura hahahahahahhahahaha una akili ndogo hadi nimejiuliza unaishie kwa akili kiduchu ivo
 
Mwaka huu CCM, necccm , policcm , mataga , wahuni wa CCM , Siro jiandaeni kwenda the Hague haya wenye dunia wamekujibu Siro Soma hapa
 
Kama kuna sheria ya hivyo bc ni sheria inayovunja haki. Kazi ya sheria ni kulinda haki lakini pia zipo sheria zinazovunja haki. Fikiri Wewe unyimwe haki ya kulinda vitu vyako yahani huna haki ya kulinda nyumba, mifugo,mazao,gari nk. Wakati ni Wewe ulivitafuta. Yahani unahaki ya kujiandikisha, kupiga kura alafu matokeo sijui uletewe nyumbani ahingii hakirini.

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna sheria inayokuruhusu kulinda kura maana kazi hiyo inafanywa na wakala wa chama chako ndani ya kituo cha kupiga kura. Kalindeni mvunjwe viuno hamna atakae watetea
 
Sheria ile iko supported na kifungu kipi cha katiba ya JMT? Au amejitungia yeye mwenyewe kuhalalisha uonevu utakao fanywa na polisi wake siku ya siku? Wanasheria mtueleze uhalali wa sheria hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…