Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Unaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?? Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.

Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.

Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
Kaka unaongea as if unaishi nje ya afrika hivi kwa mfumo huu wa kiutawala TZ ile 2015 isingekuwa wafuasi wa upinzani kulinda kura nadhani kungekuwa Hanna mbunge hata 1 wa upinzani bungeni
 
Huu msemo ni applicable pale tu watawaliwa wanapoacha kutii. Mpaka sasa hauna uhalisia maana utii upo.

Hujasikia kuwa sasa basi?

Kutii ni kwa amri halali tu. Hizi zingine hujasikia?

Basi!
 
Hujasikia kuwa sasa basi?

Kutii ni kwa amri halali tu. Hizi zingine hujasikia?

Basi!
Sasa basi, sitakubali dhuluma, tutalinda kura na maneno yanayofanana na hayo si tatizo. Hayo si hatarishi maana ni maneno tupu. Hatari ni tendo lenyewe.
 
Jeshi la polisi la tz ni vituko,wapo kwa ajili ya kulinda masilahi ya watawala na si kufuata sheria za nchi,hivyo vitisho utafika wakati wananchi watachoka
 
" Mfumo uliotumiwa na ccm kwenye Kura za maoni kuhesabu Kura utumike pia kwenye uchaguzi mkuu,ni mfumo mzuri ,wa wazi na hauna kasoro zozote, pale unakosema polisi wasimamie Kura ndipo Vita inapoanzia. Mwenye Kura ashike Kura zake mwenye na ahesabu mwenyewe akimaliza asaini kukupali matokeo.
Sawa sawa kabisa. Mtu ashike chake kama Mwakiembe siku ile, halafu asaini. Kitangazwe, kieleweke , wahusika wasepe aidha kwa kilio au kicheko. Janja janja za kizamani hapana. Sasa basi!!!
 
Huoni umuhimu wa washindani kujiridhisha wenyewe kushinda au kushindwa kwenye kinyang'anyiro chochote?

Haiyumkiniki utakuwa mnufaika katika hali fyongo iliyopo.
Hio ndio nia yao
 
kwenye kutawaliwa hakuhitaji kuaminika. Suala hapa ni kutawaliwa mambo ya watawaliwa kuamini au kutokuamini hayo hayana madhara ilimradi tu wanasikiliza wanachoambiwa, na sasa hivi wanaambiwa wasilinde kura, wapige warudi nyumbani kusubiri taarifa.

Uza ubongo huo maana unaumiliki kwa hasara dogo, hii ni nchi ya kidemokrasia na sio ya kijeshi. Kwenye ushindani wa kisiasa ni lazima uaminike.
 
Back
Top Bottom