Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.

Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...
" Mfumo uliotumiwa na ccm kwenye Kura za maoni kuhesabu Kura utumike pia kwenye uchaguzi mkuu,ni mfumo mzuri ,wa wazi na hauna kasoro zozote, pale unakosema polisi wasimamie Kura ndipo Vita inapoanzia. Mwenye Kura ashike Kura zake mwenye na ahesabu mwenyewe akimaliza asaini kukupali matokeo.
 
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.

Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...

Kura lazima zilindwe ,tumewahi kushuhudia polisi wakikimbia na masanduku ya kura na pia kufanya michezo michafu ya kuongeza masanduku ya kura yalipigwa kura kwa mgombea aliowalipa kufanya hivyo.
 
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.

Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao...
Raia siyo walinzi.kazi ya ulinzi wa ndani ni ya Jeshi la polisi na kazi ya ulinzi wa mipaka yetu ni wa Jeshi la Wananchi. Kama wapinzani wanataka kazi ya ulinzi wajiunge na makampuni ya ulinzi binafsi wakalinde mageti mitaani
 
Unaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?? Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.

Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.

Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
BUNGE LIPI UNALOLIONGELEA WEWE JAMAA
 
Nani kakwambia kua ni hadi waende watanzania wote.Watu wanachojaribu kujiuliza ni je hizo taratibu ziko sawasawa kulingana na mazingira ya sasa. Na je ni kweli jeshi la polisi linaaminika kiasi chakuachiwa wao wenyewe wawe ndio walinzi wa kura ilhali walishaonyesha vitendo vyakupendelea mojawapo ya upande.Kwakifupi ni kwamba taratibu zilizopo zinamapungufu mengi na wahusika hawataki zibadilishwe kwasababu wananufaika nazo.

Leo unaweza usiwaone Ccm wakiongelea swala la wao kulinda kura kwasababu wanaamini vyombo vinavyohusika viko upande wao ila siku itakapokua tofauti kukawa na vyombo huru visivyoegemea upande wowote nakuhakikishi ata hao ccm watakuja na mawazo kama ambayo wanatoa upinzani sasa.
Unaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?

Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.

Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.

Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
 
Alisikika kijana mmoja akisema kuwa " Kuna tofauti kati ya polisi na takataka".
Yes utofauti upo na hivi vitu ni tofauti kabisa havina uhusiano. Kama kuna mtu anabisha alete ushahidi kuwa police na takataka ni kitu kimoja.
 
Hao polisi hatukuwachagua sisi wananchi kuwa walinzi wa kura zetu.
Unatoa mfano wa wabunge na polisi.
Jiulize lini wewe ulipiga kura kumchagua polisi awe mlinzi wa kura zako.?
Ni sawa kufananisha usiku na mchana.
Sisi tutalinda kura zetu wenyewe na kama yeye IGP anasema ni jinai basi mahakama itaamua.Yeye sio mahakama.
Nimetoa mfano wa wakilishi kwa maana kwenye kila chumba cha majumuisho na usimamizi wa kura kuna wawakilishi wa vyama vya vyote sijazungumzia polisi Kama wasimamizi bali pale wanakua ni walinzi wa amani na utulivu, jukumu la kusimamia kura ni la vyama pamoja na tume sio vinginevyo.
Ninyi Kama mnapeleka watu wa kusimamia ambao wananunulika Sasa lawama unazipeleka kwa nani?
 
Unaishi sehemu gani isiyo kuwa na utaratibu?? Kama uwakilishi usingekuwa na umuhimu basi hata bunge lisingekuwa na maana kwani tungeenda watanzania wote dodoma ili kutunga na kupitisha sheria.

Unadhani watanzania wote tukienda kulinda kura humo ndani kura zinapohesabiwa kutatosha.

Kuwa mpinzani sio tiketi ya kujitoa ufahamu
Akili zake anadhani ukiwa mpinzani lazima uwe mvunja Sheria
 
Akili zake anadhani ukiwa mpinzani lazima uwe mvunja Sheria
Hawa watu wanaupuuzi mwingi hivi kuna chumba/eneo la majumuisho ya kura hakuna msimamizi wa chama. Kama wapo inamaana wao hawaamini watu wao au wale wanakuwa ni mapambo kwenye chumba cha kuhesabia kura.
Jamii yeyote iliyostarabika inaendea na kufuata taratibu.
Nchi inatumia zaidi ya bilion 300 alafu pasiwepo utaratibu huo si itakua ni ujuha
 
Muda bado,vyama vya upinzani vitatatikiwa kuhitaji tume huru na maelewano baina ya polisi na nyama upinzani ni lazima uwe bayana ili kuepusha watu kuleta vurugu

Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
mwaka 2015 kuna mtanzania alifungua kesi juu ya uhalali wa kulinda kura na mahakama ilitoa tafsiri, so IGP Sirro yuko sahihi
 
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.

Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi ya polisi peke yao.

Kwa nini kamanda Sirro haoni umuhimu wa wenye mali yaani yenye kura zao kujiridhisha kuwa ziko salama?

Kwa nini kamanda Sirro haoni kuwa vitimbi vya polisi dhidi ya vyama vya upinzani vinawafanya kutoaminika?

Rejea vitimbi vya polisi wa Mbeya dhidi ya Sugu. Rejea matamshi ya bashiri kuhusiana na matumizi ya vyombo vya dola ili kubakia madarakani.

Kamanda Sirro kwanini haoni umuhimu wa utaratibu wa wazi kwa vyama kujiridhisha kuhusiana usalama wa kura, ni kigezo muhimu kuonyesha kuwa haki imetendendeka kwa mustakabala mzuri wa amani yetu sote?

Ni kweli kuwa kamanda Sirro anategemea kwa dhati kabisa kuwa polisi wake katika mazingira haya watatenda haki?

View attachment 1542661

Nawasilisha.
Siri Robert Amsterdam anaeaangalia kwa karibu , mkataba wake na Lisu pamoja na Kurudi nyumbani salama bila bughudha Ni pamoja na haki zake Kama mgombea, kutangazwa mshindi,

Soon barua za kuwakumbusha haki za mgombea zitatumwa kwenu.
Jaribio lolote la kuiba kura litawagharimu pakubwa, msije sema sijawaambia
 
Hizo Sheria zenu tatazivunja kwa nguvu ya umma makusudi kwa kuwa Ni Sheria za kulinda maslahi ya watawala siyo wananchi
 
hata wale wawakilishi wa vyama hawatakiwi au?
kamanda Sirro kumbuka kuwa; wapinzani hawawezi kuwa na imani nanyi kwani mmetumika mara nyingi sana kukandamiza upinzani.
Sidhani kama wanahitaji imani ya upinzani huu koko.
 
Back
Top Bottom