Inaonekana hafahamu anatakiwa kusimamia Haki kwa Usawa kwa Raia na Mali zao.Kura ni Mali ya Umma na tutazilinda kwa Amani na kwa Wivu mkubwa,tunakuomba IGP usitutoe kwenye reli.Tutapenda kudumisha Amani ndani ya Vituo vya kupigia na kuhesabia kura,tunao uzoefu wa matukio ya kura kuibwa na hatudanganyiki kwamba eti Polisi wapo Neutral?tukio la ujambazi likitokea Sirro na wenzake wanasema wananchi washiriki kusaidia polisi ila kwenye kura anazuga anatukataa tusitoe ushirikiano.