Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

Uchaguzi 2020 Kamanda Sirro: Vyama kulinda kura ni kosa la jinai

tukio la ujambazi likitokea Sirro na wenzake wanasema wananchi washiriki kusaidia polisi ila kwenye kura anazuga anatukataa tusitoe ushirikiano.
Inaonekana hafahamu anatakiwa kusimamia Haki kwa Usawa kwa Raia na Mali zao.Kura ni Mali ya Umma na tutazilinda kwa Amani na kwa Wivu mkubwa,tunakuomba IGP usitutoe kwenye reli.Tutapenda kudumisha Amani ndani ya Vituo vya kupigia na kuhesabia kura,tunao uzoefu wa matukio ya kura kuibwa na hatudanganyiki kwamba eti Polisi wapo Neutral?
 
Kulindwa kwa kura au kubakia salama kwa kura kunakugugusa negatively mkuu?

Kwa hakika kama wewe ni mnufaika vipi utake utaratibu mwingine unaoweza kukuumbua?

View attachment 1542694

Ndiyo mafisi mnataka kujimilikisha kazi ya kulinda mabucha?
Sasa Siro ameshawaambia sio kazi yenu.. mbona mnakua viazi ivi ? wapi umeeona wananchi wanapiga kura halafu wanazilinda, kuna haja gani kuweka mawakala sasa ? mda mwingine muwe mnatumia akili japo ya kuvukia barabara tu inatosha.
 
Kwa utaratibu anaosema Sirro ulinzi wa kura ni wa polisi (yaani dola) pekee.

Umeona hapa:

IMG_20200820_093436_378.jpg

Ya Sugu Mbeya nayo uliyaona?

Wapi hata kuna rejea inayohusisha wakala? Achilia mbali mawakala. Kwanini suala la kutohujumiwa kwa kura lisiwe ni suala la maslahi kwa vyama na hata wagombea wote?

Kama yote huyaoni, mwenye akili za kuvukia barabara peke yake ni wewe mkuu.
 
Kwa utaratibu anaosema Sirro ulinzi wa kura ni wa polisi (yaani dola) pekee.

Umeona hapa:

View attachment 1542788

Ya Sugu Mbeya nayo uliyaona?

Wapi hata kuna rejea inayohusisha wakala? Achilia mbali mawakala. Kwanini suala la kutohujumiwa kwa kura lisiwe ni suala la maslahi kwa vyama na hata wagombea wote?

Kama yote huyaoni, mwenye akili za kuvukia barabara peke yake ni wewe mkuu.
Kwanini niwachilie mbali mawakala ? nadhani sheria za uchaguzi zinawatambua mawakala kama washirika wakuu na ni watu pekee wanaowakilisha vyama vyao, ikiwa kuna suala la maslahi ya vyama nadhani ni issue inayohitaji mjadala mpana , na linaweza kuzingatiwa ilo ili litambulike kisheria, but meantime Siro yupo sawa na wewe unatakiwa usiwashwe washwe wacha mamlaka husika zifanye kazi zake.
 
Ninanusa harufu ya uchakachuaji hapa
Huo uchakachuaji ndio utakaoleta maafa nchini. Sirro akumbuke kuwa kauli anazozitoa zinawekwa kwenye kumbukumbu kama ushahidi mara zitakapohitajika.
Sirro chunga kauli zako usijepatwa na shida kama IGP wa jirani zetu!!
 
Kwanini niwachilie mbali mawakala ? nadhani sheria za uchaguzi zinawatambua mawakala kama washirika wakuu na ni watu pekee wanaowakilisha vyama vyao, ikiwa kuna suala la maslahi ya vyama nadhani ni issue inayohitaji mjadala mpana , na linaweza kuzingatiwa ilo ili litambulike kisheria, but meantime Siro yupo sawa na wewe unatakiwa usiwashwe washwe wacha mamlaka husika zifanye kazi zake.

Wamenunuliwa wagombea walioshinda ije kuwa mawakala?

Usalama wa kura ni suala nyeti lenye maslahi kwa wananchi na vyama husika. Hili si suala la mtu mmoja mmoja.

Tangu lini katika jamii zetu hizi takukuru alimaliza yake?

Hukusikia badala ya watuhumiwa wa rushwa kwenye kura za maoni CCM kukamatwa, takukuru kawawasilisha chamani kwa hatua zaidi?

Mamlaka zipi zifanye kazi ipi ambapo mamlaka hizo zinapokea maelekezo tokea kwa chama kimoja dhidi ya vingine?

Kwa mustakabala wa haki, suala la muafaka baina ya washindani wote haliepukiki. Namna ya kuhakiki usalama wa kura haliwezi kuachiwa kuwa jukumu la mmoja wa washindani.
 
Mi nauliza tu... polisi wanatosha kusimamia kila kituo.... au huwa kuna wanaopewa uniform kwa ajili ya siku hiyo tu......
 
Mi nauliza tu... polisi wanatosha kusimamia kila kituo.... au huwa kuna wanaopewa uniform kwa ajili ya siku hiyo tu......
 
zile taarifa wanazotakaga kutoka kwa wananchi ni za nini??
ulinzi shirikishi unajua maana yake?? kwa nini walianzisha ulinzi shirikishi??

uelewa wako ni wa chini kuliko ukoka!
Kwa akili yako ya kukalia unadhani ulinzi wa kura unahitaji ushirikishi? Kama unataka ulinzi shirikishi kalinde mtaani kwako, kenge wewe
 
Kuna sheria inayowakataza?
Ebu tuelimishane kwa wanaojua sheria.
Mimi najua kama jambo sheria haijakataza kulifanya, ukifanya huwezi kuhesabiwa umetenda kosa mpaka hapo sheria ya kulikataza itakapotungwa.
Kuna sheria za kwenye karatasi hizo wote tunazifata na kuziheshimu ijapokuwa kuna wakati zinapuuzwa na wachache ili kufanya watawaliwa watawalike.
 
Huoni umuhimu wa washindani kujiridhisha wenyewe kushinda au kushindwa kwenye kinyang'anyiro chochote?

Haiyumkiniki utakuwa mnufaika katika hali fyongo iliyopo.
Kuna tume inayohakikisha watawala waliopo ni watawala sahihi na polisi kazi yao ni kuhakikisha tume inafanya kazi yake bila vurugu. Kuwaachia wananchi bila udhibiti si salama sana kiutawala.
 
Wapinzani wameamua kulinda kura sababu CCM ni VIBAKA. Mzee Sirro ka pembeni hii ngoma ya mwaka huu ni nzito hutaiweza.

Wapinzani kulinda kura zenu ni haki yenu, hatutaki tena ulen uhuni uliofanyika chaguzi ndogo ukajirudia.
 
Ni hivi, kuanzia kamanda Sirro mpaka waliochini yake hatuwaamini. Yeye alinde kwakuwa ni wajibu wake kisheria, lakini sio kwamba analinda kwakuwa anaaminika. Kama Magufuli mwenyewe hatumuamini ndio itakuwa kamanda Sirro?
kwenye kutawaliwa hakuhitaji kuaminika. Suala hapa ni kutawaliwa mambo ya watawaliwa kuamini au kutokuamini hayo hayana madhara ilimradi tu wanasikiliza wanachoambiwa, na sasa hivi wanaambiwa wasilinde kura, wapige warudi nyumbani kusubiri taarifa.
 
Back
Top Bottom