Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Wewe unaandika takataka kabisaa hakuna vita Israel anapigana zaidi ya vikundi vya Iran, sasa vikundi vinamtoa kamasi vile anaweza kupigana na nchi yenye misuli kama Iran?
 
Kaa na mateka sie tunakaa na roho za wenu kuzimu
Mateka wako hai , Sinawar ndio mtoa roho wao kwasasa akitaka wanakufa au wanabaki hai, maandamano yana endelea Tel Aviv mateka waachiwe
 
Kama walivyobutuliwa wale wanajeshi waliokuwa wakipata chakula pale kambini
Watu wamesepa na Hani wao......

Unapiga kelele umepata sisimizi yakheee.......watu wamevua jipapaa limenonaaa
 
Mateka wako hai , Sinawar ndio mtoa roho wao kwasasa akitaka wanakufa au wanabaki hai, maandamano yana endelea Tel Aviv mateka waachiwe
Mateka wapo hai ila watu wako wapo kuzimu......we kaa na hao mateka unadhani ndo mapambano yatasimama kisa una mateka........we kaa nao tu kwetu makafiri kutoa kafara ni jambo jepesi tu
 
Mateka wapo hai ila watu wako wapo kuzimu......we kaa na hao mateka unadhani ndo mapambano yatasimama kisa una mateka........we kaa nao tu kwetu makafiri kutoa kafara ni jambo jepesi tu
Wako hai wakati mtoa roho ni Sinawar, nenda Tel Aviv hawamtaki Netanyahu wanasema kaua Mateka
 
Kitu kidogo tu mwanajeshi haogopi kufa hadi aanze kuvaa nguo za wamama
Sasa unataka afe kiboya wakati kuna mateka wa kuwashika ili kule Tel Aviv maandamano yasiishe, njoo ukomboe mateka acha kulia lia
 
Weka idadi ya maiti za myahudi na kobazi
Kuna mateka wakutosha zaidi ya 20 roho zao ziko chini ya Sinawar, yeye ndio kashika button anaamua nani aishi au nani afe, wewe unafikiri kwanini maandamano hayaishi Tel Avivi!!!!
 
Sasa unataka afe kiboya wakati kuna mateka wa kuwashika ili kule Tel Aviv maandamano yasiishe, njoo ukomboe mateka acha kulia lia
Hehe......tunawapendaga saaana ........nyie makafiri watawatawala milele walahi
 
Kuna mateka wakutosha zaidi ya 20 roho zao ziko chini ya Sinawar, yeye ndio kashika button anaamua nani aishi au nani afe, wewe unafikiri kwanini maandamano hayaishi Tel Avivi!!!!
Kumbe 20 halafu unajisifu nikajua hata 5000 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…