Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
unasaidiwa na watu waoga hadi wanavaa nguo za wamama....nyie tulieni mtumike tu kama kawaida yenuTulia usaidiwe wewe , wataalamu we silaha kutoka Iran wamekuokoa kwasasa unatumia tu Drone za muiran, yaani unasaidiwa halafu unabweka bweka