Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Mesejininayopata hapa ni kuwa " Kifo nacho hakina chama wala Boss"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri zamu yako, kila chenye uhai kitaonja mauti.Kuhukumu sio kazi ya binadamu.Akapigwe Moto mjinga huyo alijiona mwamba
ccm hawafai alijimbendekeza kwao kwa kuleta fomula ya ABC(A=B=C hivyo A=C ccm ilimwona huyu hajali hata miiko ya watumishi wa serikali safi sana akashangiliwa lakini pale alipokosea walimtupa chuoni.Je kifo chake "kimeharakishwa" kutokana na kufutwa kazi ya uRpc aliyokuwa nayo kabla? Huenda magonjwa jamii ya Bp imehusika. Pumzika unapostahili kamanda.
SioNdio
SioNdiye huyohuyo R.I.P kamanda Shana.
Dunia mapito na kifo ni funzo kwetu tunaobakia.
Mungu amlipe kadiri ya matendo yakeNi huzuni & majonzi
Ameumaliza mwendo
Kazi ya Mungu Haina makosa
RIP Kamanda Shana
=====
TANZIA: KAMANDA JONATHAN SHANA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Alifahamika zaidi katika kujihusisha na shughuli za Vyama akiwa na sare za kipolisi. Aidha, aliwahi kufananisha Chama Tawala, Serikali na Dola kwa Kanuni za Kihesabu
Kamanda Shana aliwahi kuwa RCO Mikoa Mbalimbali Nchini ikiwemoRPC-Mikoa ya Pwani, Mwanza na Arusha pia aliwahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Simiyu.
ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu katika Chuo cha Polisi (CCP) Moshi
Pia soma >>> RPC Shana anavyotikisha Arusha, awadaka Majangili hatari, AK 45, Meno ya Tembo
Watu 9 waliohusika kutungua chopa na kumuua rubani wakamatwa
Tuliobaki tutuzingatie hiloNi huzuni & majonzi

Logic yake kwa katiba yetu alikuwa sahihi.If A=B, B=C then A=C (A=CCM B=SERIKALI HALALI C=VYOMBO VYA DOLA) kamanda huko uliko nakuomba sana umfafanulie Mwenyezi Mungu hii kanuni otherwise atakuadhibu horribly.
👉Kwamba kwasababu ya comments zenu hizi Basi Kuna kitu kitaharibika kwenye mazishi yake🤔?ma-CCM mnaona namna mnavyo ponza watumishi??
Mkuu nimehukumu wapi? Mimi na wewe tutaenda sehemu Ile ambayo kulingana na matendo yetu hapa duniani kama umetenda mema utaenda mbinguni na kama umetenda mabaya utaenda jehanam ya Moto ndiyo maana mm nimesema "aende sehemu anayostahili kwenda kutokana na matendo yake"Usipende kuhukumu mkuu
Usiwe na wasiwasi Mkuu huyu Mzee wako ameenda peponiWewe utabaki milele hapa duniani kwa matendo yako mema
Ile iliyokufa kwa covidNi furaha mtu muovu kama huyo kufa. I hope he is burning in hell na baba yake ibilisi pamoja na maCCM mengine yote yaliyokufa!
Wanafamilia wepi?? Mungu anasema huwapatiliza wana wa uovu kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha nne na wao wasubiri tu zamu yao. Mungu ni mkali wa kuadhibu.Pole sana kwa wanafamilia,
Mungu amuweke mahala
anapostahili.