Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
"amesababisha niichukie kada yote ya polisi." Matendo ya mtu mmoja ndio yalisababisha ulichukie Jeshi zima la Polisi!! Nadhani una sababu nyengine ambazo hutaki tujue.Amefanya nini zaidi ya kuwa polisi kada wa chama cha mapinduzi? Na yeye kupitia nafasi yake amekuwa akiunyanyasa upinzani. Ametumika vibaya kisiasa,pia amesababisha niichukie kada yote ya polisi. Naombeni mnisamehe kama nimewakwanza.
R.I.P kamanda kada w CCM