TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Kamanda amekutana na vikosi kabambe ambavyo havikutaka salute
 
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko.
watafika Dodoma majira ya Mchana saa Saba na utafikia nyumbani kwake watakaa kwa Nusu saa yaani saa 7:30 Mchana wataondoka nyumbani kwake
Kwa hiyo mwili wa marehemu hautalala nyumbani kwake? Bali utakaa tu kwa nusu saa? Hii sio sawa.
 
Taarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko..
Namwombea Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema pema peponi. Alikuwa MC kwenye harusi yetu 2007 pale Mgulani JKT Hall (kubwa).

Alifanya sherehe yetu ifane. Miaka kadhaa nilikutana naye kwa mara ya pili wakati huo akiwa regional investigation officer (nadhani) wa Mkoa wa Dodoma. I longed to meet him again the third time, but God had his own plans.
 
Taarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko...
Bado anaendelea kulipa mabaya yake kwa hiyo mizunguko,apepe afande wa ccm
 
Nilitamani nione jinsi Wasabato wanavyozika na Ibada yao
 

CCM mna JAMBO LENU. Ratiba ndiyo hiyo. Kada yupo mbele ya shwetani kutoa hesabu ya kujiondoa ufahamu akiwa kamanda wa umma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…