Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko.
Kwa hiyo mwili wa marehemu hautalala nyumbani kwake? Bali utakaa tu kwa nusu saa? Hii sio sawa.watafika Dodoma majira ya Mchana saa Saba na utafikia nyumbani kwake watakaa kwa Nusu saa yaani saa 7:30 Mchana wataondoka nyumbani kwake
Nimeiona hii clip yake akiimbisha ndiyo nikafahamu kumbe alikuwa SDA pia. Poleni sana na Bwana awafariji tutaonana naye asubuhi ile njemaKamanda wa Yesu amepumzika. Alishiriki sana kanisani kwangu Arusha central sda church.
Kwani hujui kama polis wote wanatumiliwa na ccmMbona kavaa kipolisi? Si alikua kada wa chama huyu?
Marehemu asije amka tu na kulalamikia route ndefuJamani huyu kamanda amefariki lini Mungu wangu, halafu hiyo safari na mizunguko yote hiyo daa pole kwa wasafirishaji mpaka muda wakuzika machozi yamekauka,
R.I.P kamanda
Ndugu wameamua hivyo...Kwa hiyo mwili wa marehemu hautalala nyumbani kwake? Bali utakaa tu kwa nusu saa? Hii sio sawa.
Namwombea Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema pema peponi. Alikuwa MC kwenye harusi yetu 2007 pale Mgulani JKT Hall (kubwa).Taarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko..
Bado anaendelea kulipa mabaya yake kwa hiyo mizunguko,apepe afande wa ccmTaarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko...
ALIKUWA SO-1 PALE CHUO CHA POLISI MOSHIALIKUWA MKOA GANI MARA YA MWISHO KABLA YA MAUTI?
Mwili unapita kwa kaka zake kufanya Nini si Apelekwe kwake azikwe Kamanda?
LAzima awaage kaka zake kwanza au?
Taarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko.
Siku ya Ijumaa wataanza safari kuelekea Ikizu Bunda watafika Dodoma majira ya Mchana saa Saba na utafikia nyumbani kwake watakaa kwa Nusu saa yaani saa 7:30 Mchana wataondoka nyumbani kwake Dodoma Ipagala kuelekea Kanisani Dodoma Kati watafika saa 8:00 Mchana. Kanisani kutakuwa na Chakula kwa Wageni na waombolezaji ; itafanyika Ibada fupi; Salamu za Kijeshi na kuaga mwili watu Wote.
Saa Kumi na Moja Jioni wataanza safari kutoka Dodoma Baada ya mapumziko kwenda Kijijini Ikizu mission . Wanatarajia kufika Bunda Asubuhi na watashinda Kwa Mama yake pale CCM Bunda Mjini na Jioni siku hiyo ya Jumamosi wataondoka na kwenda Ikizu Mission kwa Mzee Samwel Musika Waryoba Kaka yake na Marehemu Baba yake aliye mlea Shana.
Asubuhi Jumapili mwili utaondoka kwa Mzee Samwel kwenda kwa Kaka yake Shana Bukama Ikizu Mission ( Ikizu Secondary).
MAZISHI YA MPENDWA WETU SHANA NI JUMAPILIView attachment 1571831
Hawajamtendea haki marehemuNdugu wameamua hivyo...