TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Hii habari ya kuumwa niliiona Jana kwenye ukurasa wa Babu mzanzibar
 
Na huyu mtu angeendelea kuwa RPC wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu pale Arusha, sijui hali ingekuwaje! Alikuwa anajitoa ufahamu kabisa linapokuja suala linalohusu CCM, au JPM.
Kuna mkutano mmoja huko kanda ya ziwa, baada ya kupewa nafasi ya kutoa salamu, akawaambia wahudhuriaji kuwa, akiwaambia… KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, wao wajibu KIDUMU MILELE!
 
Alikuwa RPC wa Mkoa wa Arusha

Alikuwa ni "close friend" wa Mrisho Gambo, mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini, kupitia CCM,
Si ndo huyu mzee wa Ukipigaa napigaa...Ukipiga unapigwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mara ya mwisho alipelekwa Moshi akawe kiongozi wa mafunzo ya polisi au??? Daah apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom