TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Alikua tofauti kabisa aisee ndo mana umeona katolewa Arusha, alikua ana utu sana
 
View attachment 1571069
Pumzika kwa Aman kamanda shana
Msiba wake umetokea Leo saa 11 alfajir.
Tujifunze mawili kutoka kwa maisha ya Kamanda Shana:

1. Usiishi kama vile hautakufa kwa vile ulizaliwa siku moja na kufa siku moja

2. Ukiwa mtumishi wa umma simamia haki na fanya kadri ya sheria. Ili hata ukifa watu waongee mazuri yako.

3. Muabudu Mungu tu na siyo mwanadamu kwa cheo chake. Kamwe usijikombe hata kama mtu huyo ni Rais wa nchi.
 
Aliyeleta habari kaeleza kila kitu, wewe umekurupukaje bila kusoma au huelewi?
wewe ndiyo umekurupuka kujibu hoja yangu mleta mada kasema aliwahi kuwa mkuu wa police arusha mimi nimesema alikuwa mkoa gani kabal ya umauti? kama umeamka na bange za asubuhi bla kula usiwe unajibu wanaume
 
Huyu ndiyo yule aliefanya jeshi letu la polisi kuwa la ccm na kuvunja katiba yetu kwamba polisi ni kwa kila raia wa Tanzania?

Kwamba if A = B and B = C then A = C nakwamba akatamatisha kuwa hakuna tofauti kati ya ccm na polisi.

Ali manipulates Logics kishabiki sana nakufedhehesha elimu ya hesabu

Au siyo yeye ?
Ndio huyu huyu kada wa Ccm
 
Back
Top Bottom