TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Mmmmh shida watu tunajisahau na kufikiri dunia ni yetu.....kasepa hatarudi tena mpaka siku ya hukumu....majigambo na vitisho vinabaki hapahapa ...Yule aliyekua akimsifia kabaki akasahau kuwa ni mwanadamu mwenzie....Leo anasubiri hukumu...kule hakuna vyeo
 
Taarifa za mapema leo zinasema qliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha na baadaye kuamishwa kupelekwa chuo cha polisi moshi Joseph Shana hayupo duniani.

Taarifa zaidi zitakujia baadaye...

SHANA.jpg

☝️Pichani kamanda Shana enzi za uhai wake pale Arusha.
 
kwa kweli apumzike kwa Amani, hizi tofauti zetu zingune tuziweke kando….
 
Taarifa za mapema leo zinasema qliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha na baadaye kuamishwa kupelekwa chuo cha polisi moshi Joseph Shana hayupo duniani.

Taarifa zaidi zitakujia baadaye...

View attachment 1571127
[emoji3516]Pichani kamanda Shana enzi za uhai wake pale Arusha.
Pole kwa familia
Pole kwa Taifa.

Mungu amlaze pema peponi
 
maisha ni vile tuishivyo leo pasipo kujali unakera, unapendwa ama laa ila mwisho wa yote ni kifo tuu na watu wakilia kwa kufa kwako ama kufurahi kwa kufa kwako hakubadilishi chochote kikubwa kilamtu ajiweke sawa wakati wote
 
Back
Top Bottom