EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
asante mkuuMkuu hayo ni madaraka ambayo muhusika anapaswa kuwa ameanzia
ACP au SACP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuuMkuu hayo ni madaraka ambayo muhusika anapaswa kuwa ameanzia
ACP au SACP
Hivi Ni huyu video yake fulani ili trend akiwa na Ilani ya CCM?
Tumsamehe bure.Amefanya nini zaidi ya kuwa polisi kada wa chama cha mapinduzi? Na yeye kupitia nafasi yake amekuwa akiunyanyasa upinzani. Ametumika vibaya kisiasa,pia amesababisha niichukie kada yote ya polisi. Naombeni mnisamehe kama nimewakwanza.
R.I.P kamanda kada w CCM
Tunapata prsha ya bure. Kuna watu wameamuia kuwa watumwa na hatuna njia ya kuwasaidia. Mtu anashabikia chama cha siasa utadhani ni mali ya familia yake, kumbe hata M/kitu hamjui! Kama huyu aliamua kuwa mtumwa wa CCM, huna sababu ya kuumia. Achana naye na hapo hakuna suala la amani ya nchi, ni mapenzi yake.Ni-heri mimi nauza pilipili kwa matumizi ya hiali kwako na wengine wenye mapenzi nazo(kwa walaji) lakini sisi yeye mwenye kuhatarisha Amani kwa Taifa kwa kutumia ofisi yake vibaya,kwa matumizi ya kisiasa.
Tunapata prsha ya bure. Kuna watu wameamuia kuwa watumwa na hatuna njia ya kuwasaidia. Mtu anashabikia chama cha siasa utadhani ni mali ya familia yake, kumbe hata M/kitu hamjui! Kama huyu aliamua kuwa mtumwa wa CCM, huna sababu ya kuumia. Achana naye na hapo hakuna suala la amani ya nchi, ni mapenzi yake.
Tatizo munalaani kamanda huyu bila kumbukumbu kwamba Mbowe anatumia madaraka vibaya, Magufuli anatumia vibaya, Shen anatumia vibaya, Zitto anatumia vibaya, wewe unatumia vibaya hapo nyumbani kwako, nk. Now, when everybody is guilt, who is guilt?Mkuu ,unaelewa maana ya Dhamana /Madaraka /Mamlaka ?.
Unaijua Athari ya kutumia Ofice vibaya kinyume kabisa na Utaratibu !?.
Namkumbuka kwenye Hii kanuni
View attachment 1571128
Ndo maana nimesema Mungu anaona ya nuruni na ya gizani.....kiimani tunaaswa kuwa makini na maisha yetu....unaweza kukosa na kutubu lakini adhabu ipo pale pale.....ni kumwomba Mungu atupatie REHEMA KAMILI.u
Alitubu kabla ya kufa? wee utumie madaraka yako vibaya kunyanyasa watu halafu eti ulazwe pema? kama hakutubu, kuacha uovu na kumrudia Muumba wa Mbingu na Nchi huyo ni motoni tu tena kuzimu....
Ile yote ilikuwa njaa ya kuusaka uIGPHuyu ndiyo yule aliefanya jeshi letu la polisi kuwa la ccm na kuvunja katiba yetu kwamba polisi ni kwa kila raia wa Tanzania?
Kwamba if A = B and B = C then A = C nakwamba akatamatisha kuwa hakuna tofauti kati ya ccm na polisi.
Ali manipulates Logics kishabiki sana nakufedhehesha elimu ya hesabu
Au siyo yeye ?
Ndio huyu... Mola ametutolea mhuni wa Haki.Hivi Ni huyu video yake fulani ili trend akiwa na Ilani ya CCM?
Ni huzuni & majonzi
Ameumaliza mwendo
Kazi ya Mungu Haina makosa
RIP Kamanda Shana
=====
TANZIA: KAMANDA JONATHAN SHANA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Alifahamika zaidi katika kujihusisha na shughuli za Vyama akiwa na sare za kipolisi. Aidha, aliwahi kufananisha Chama Tawala, Serikali na Dola kwa Kanuni za Kihesabu
Kamanda Shana aliwahi kuwa RCO Mikoa Mbalimbali Nchini ikiwemoRPC-Mikoa ya Pwani, Mwanza na Arusha pia aliwahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Simiyu.
ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu katika Chuo cha Polisi (CCP) Moshi
Pia soma >>> RPC Shana anavyotikisha Arusha, awadaka Majangili hatari, AK 45, Meno ya Tembo
Watu 9 waliohusika kutungua chopa na kumuua rubani wakamatwa