TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

[SUB]R.i.p Kamanda wetu. Polisi wanapaswa waelewe kuwa duniani tunapita tu. Usipotenda haki duniani basi nawe hautatendewa haki akhera.[/SUB]
 
Ndo maana nimesema Mungu anaona ya nuruni na ya gizani.....kiimani tunaaswa kuwa makini na maisha yetu....unaweza kukosa na kutubu lakini adhabu ipo pale pale.....ni kumwomba Mungu atupatie REHEMA KAMILI.
sawa, basi usiseme alazwe pema, mwache alazwe anapostahili
 
Huwezi kumuamuru Mungu ampumzishe wapi marehemu labla mwenendo wake ulikuwa haumpendezei huwezi kujua, hilo ni la Mungu mwenyewe kuamua.

Huyu bwana alitumia nafasi yake vibaya sana alifikiri yeye alikuwa akiitumikia ccm. Wanaoweza kumlilia wamlilie lkn sisi wengine hatuhuzuniki kwa kifo chake ila naweza tu kusema "It's worth it". Na sisi tunasubiri chetu.
 
Tatizo munalaani kamanda huyu bila kumbukumbu kwamba Mbowe anatumia madaraka vibaya, Magufuli anatumia vibaya, Shen anatumia vibaya, Zitto anatumia vibaya, wewe unatumia vibaya hapo nyumbani kwako, nk. Now, when everybody is guilt, who is guilt?
Kwa hiyo nyumbani kwako wewe ni A, B and C ....!? Talk for yourself!
 
Amefanya nini zaidi ya kuwa polisi kada wa chama cha mapinduzi? Na yeye kupitia nafasi yake amekuwa akiunyanyasa upinzani. Ametumika vibaya kisiasa,pia amesababisha niichukie kada yote ya polisi. Naombeni mnisamehe kama nimewakwanza.
R.I.P kamanda kada w CCM
Ukweli lazima usemwe... Alifanya jeshi la polisi lidharaulike sana.
 
Hata mashabiki wa upinzani huwa wanakufa mkuu
 
Back
Top Bottom