TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

"amesababisha niichukie kada yote ya polisi." Matendo ya mtu mmoja ndio yalisababisha ulichukie Jeshi zima la Polisi!! Nadhani una sababu nyengine ambazo hutaki tujue.
 
Alikufa Afande Masoud, nchi nzima kila mtu anacomment RIP, utafikiri ndio alikuwa IGP. Leo kafa huyu jamaa, kila mtu anamng'ong'a. Kiburi si maungwana, haki huinua taifa, hao unaojaribu kuwafurahisha huenda ukifa hata wasitoe mchango wa kuni wala kukuchimbia kaburi.
Tanguliza utu ukiwa na cheo. Usitumie cheo chako kufanya ya kipumbavu ili watu wachache wacheke huku ukiumiza wenye haki.
 
Jehanamu kuna watu wake. Tunamtakia agike salama huko akavune alichopanda
 
Ukiwa wa shetani utaenda kwa shetani tu. Hakuna haja ya kumung'unya maneno haisaidii kitu. Let him go to hell
 
Ndie haswaa, karma jamani haijawahi kumwacha mtu!
 
Kwa hiyo nyumbani kwako wewe ni A, B and C ....!? Talk for yourself!
Mmmmh! Umekosea english. Andika hivi; Talk about yourself, talk to yourself. Au ulitaka kuandika speak for yourself? Unalo deni la kujifunza mengi kuliko kuhangaika kumtetea Mbowe, Magufuli, Zitto, Lissu, nk.
 
"amesababisha niichukie kada yote ya polisi." Matendo ya mtu mmoja ndio yalisababisha ulichukie Jeshi zima la Polisi!! Nadhani una sababu nyengine ambazo hutaki tujue.
Tatizo ni imani yangu kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…