Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

Hate speech is illegal in social media. The one you try to defend was a champion of hate speech. You reap what you sow. Period

 

CCM ni shetani anayewamaliza watanzania kwa njia mbalimbali.

Enyi wanadamu mnaomshabikia shetani huyu anayeitwa CCM, hamna huruma na roho za watu wanaopotezwa na huyu shetani? Hata kama una mahaba na CCM, lakini uichukie kwa ushetani wake.
 
Mbona alikuwa anatukana kina Pablo Escobar kiboya hivyo.
Nafikiri hajawajua vizuri pirate wa lumumba.
Tunatetea mtu ambaye hatumjui. Yeye mwenyewe anaonekana ni mtu hatari
 
Duuuh Bora angetukana JF angepigwa ban km Lamomy kisha post yake ingefutwa mazima na ONYO Kali kutoka kwa Payge alafu basi Ila huko X hata Elon Musk haingilii umetukana mwenyewe na unaonyesha mpaka Sura 😂 lazima wakulie Mingo wapite na Wewe
Kabla Elon Musk hajanunua Twitter na kuita X, ilikuwa ukitumia hate speech unafungiwa mpaka u-apologise.

Watu wanatetea kuhusu uhuru wa maoni lakini wanasahau kuwa matusi siyo uhuru wa maoni.

Liwe fundisho kwa wengine. Hata JF ukituna unakuwa banned na post inafutwa.
 
CCM ni shetani anayewamaliza watanzania kwa njia mbalimbali.

Enyi wanadamu mnaomshabikia shetani huyu anayeitwa CCM, hamna huruma na roho za watu wanaopotezwa na huyu shetani? Hata kama una mahaba na CCM, lakini uichukie kwa ushetani wake.
Hata mukija CHADEMA hamuwezi ku tolerate matusi kama ya Sativa. Kaa kwa utulivu
 
Huyo sativa kwanza jina lenyewe ni aina ya ganja
Na ujinga aliokua anaupost hata kutetewa ni upuuzi
 
Kuna watu wame kalia kuti kavu saivi kwa kushindwa kupiga risasi vizuri
 
Hate speech is illegal in social media. The one you try to defend was a champion of hate speech. You reap what you sow. Period

View attachment 3027949View attachment 3027950
What you need to understand is that there is no crime in our country that is punishable by abduction, torture, and murder. None. The country has a constitution and laws. We cannot allow state apparatus to engage in abduction and murder under the pretext of 'hana adabu.' Being a leader means knowing that you will lead people of various personalities and characters, and you must tolerate them all. If someone has committed an offense, there are legal systems in place. Why don't you understand something so simple? If your mother insults your father, does your father punish her with death? Let's try to use our brains like human beings and not like hyenas! If a leader cannot withstand criticism, then they should go and take care of their grandchildren, leadership is not for them!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…