Wapinzani walipata shida likuficha maovu yake kwa watawala ili kiuhalisia Lema ni mtoto wa huruma zake kuficha maovu nikimanisha angekuwa kamanda imara uwenda lema tusingekuwa naye. Kiukweli alilinda makundi ya uhalifu makubwa yaliokuwayakitikisa mikoa miwili.Wakati wake mkoa wa Kilimanjaro ulishamiri sana matukio ya ujambazi wa kupindukia mateso kwa wapinzani na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Du huyu mzee alitishaPia kipindi chake ujambazi uliongezeka cos alikuwa mwanahisa
Kama sijakuelewa swali lako?? Kukumbukwa ndo kutamsaidia nini mbele ya Mungu? kama wewe humkumbuki ana familia yake itamkumbuka kwa mengi, tumuombee Mungu ampe makazi mema.Huyo kamanda atakumbukwa kwa lipi hasa?
Poleni wafiwa wote.
Rafiki mkuu na alikamatwa Alikuwa mchana kituoni usiku Analala nyumbani kwake asubuhi anajirudisha kituon chiko.....Una maana ya Babu Sambeke yule aliyeporomoka na kindege chake pale Arusha na kupoteza uhai?
Nakumbuka Kombe,Ndiye aliyeunyoosha mkoa wa arusha,yeye ndiye aliyethibitisha kuwa Arusha bila ujambazi inawezekana!!na iliwezekana! Rip Chico.Kilimanjaro bwana.. Arusha alikuwebo hasimu wake James Kombe R.I.P
Walimleta hapa akawa anasoma magazeti tu... JkMiaka 3 baada ya kustaafu anakufa. Inaonyesha stress na damu za watu alizomwaga ndizo zimemuua.
Duh!,kama ulikuwa darasa la tano zama za kamanda chico basi nakudai shikamoo zangu nyingi sana.Kamanda msela msela yule,
niko darasa la tano nakutana nae kila siku asubuhi nikienda shule akifanya joging peke yake bila ya bodyguard ,tulikua tunaishi same neighbourhood,alikuwa anawajali sana wamama.
rip
Alionekana Sana atafutwe uone km watampataHii issue ya JJ naikumbuka ila ya kuonekana Uarabuni baada ya hukumu sikumbuki!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Duh!,kama ulikuwa darasa la tano zama kamanda chiko basi nakudai shikamoo zangu nyingi sana.
sikudhani kuwa wewe ni mdogo wangu wa nne kiumri.
dogo elungata.
ha ha ha,No man,naongelea kipindi akiwa OCD ,miaka ya 90 huko,Kumbe wewe ni wale wa 2000!!
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Duuuuuuh weka kiswahili kwa mbali utakua umekosea vinuktaجحكقوخ صشوبعاع صشمث
nilifikiri ni kamanda wa chadema kumbe wa polisi. mungu amlaze pema.Alikuwa RPC wa Arusha enzi ya mkapa NA kikwete amestaafu kama Miata mitatu iliyopita ni mzaliwa Dar
wala hakusikiiR.I.P Mzee chico nenda kampuzike nakuja msibani hapo kijitonyama
litekeleza vyote if that is the cae. mimi nilikuwa naona mabomu ya machozi kwa wapinzania. Magari ni ishu ya ndani kuijuaWapinzani?! Huyu Alikuwa rafiki WA wezi WA magari sambeke babu na kina mangeu....
Ukisikia mtu anafika kustaafu hiyo sio mapema tenaPolen sana wafiwa
Lakini ni kwa nini mabosi wanapojiuzulu au kuachishwa kazi wengi huaga dunia mapema?? Kuna nini hasa?