Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

ndugu mwaka huu mwanzoni nliamua kuikimbia lkn uez amini mwez wa 5 nlirudi kwa kasi ya ajabu na imeshanilevya nawish niiende cjui pori gani nkakae kwa muda at wa mwaka ili niitibu kwanza akili na kuieka swa
nenda kanisani utapona 100%
 
nenda kanisani utapona 100%
kanisani nlikwa naenda na mama yangu yeye akiamini ni roho chafu nimetupiwa so maombi kanipeleka sana bahati mbaya mimi sipendi maombi yao ya makelele na kila siku nilimwambia mama sisi ni wakatoliki so haya maombi siyapendi bora nikaombewe katoliliki ila yeye anasema mungu ni mmoja then why tuende kwa kanisa ambalo hatsali wala sisi sio waamini wake? ninachoamini natakiwa nijiponye mwenyewe kwa kuacha kabisa je naachaje apa bado natafta njia ya kuchomoka
 
Back
Top Bottom