Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Kwenye betting site zote pale chini kuna gambling responsbility.
Mkuu betting inahitaji nidhamu kama kazi nyingine yoyote. Pole tayari urahibu umeshakuingi na kuacha ni ngumu.
 
Wengine ngoja tuendelee kutunza kibubu cha ligi mwezi wa nane. Ila betting ni konyooo 😣😣
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Mkuu kuna vitu inabidi uache...
betting mimi niliingia ila kuna siku nilipigwakama lak 8 toka siku hivyo nikasema mimi na ebtting absi now nina kama miaka 4 sijabet.
FX, sikuwahi kujiingiza FX, ila over 6 weeks ago nikaanza kutrade options kwa signals fulani. Week ya kwanza niliweka dollar 200, kupitia zile signals ndani ya kama siku nane ile pesa ilifika $1240, nikasema eeeh kumbe ela si iko huku, nikatoa $800 iliyobaki nikaendelea, after tena kama week ikawa imefika 1800, siku hiyo nilipoteza ikaja mpaka 150 hivi, nikaanza upya ilipofika 600 ikapigwa yote. Nikaweka tena dollar 150, siku hiyo hiyo ikapigwa yote. nikaweka 30 nayo ikapigwa. Nikasema this is not for me kwanza nakuwa nakaa roho juu juu. Nimeacha sitrade tena kamwe.
Mkuu pole, ila katika kila kitu usiingie mzima mzima, uwe na uwezo wa kuquit unapoamua kuquit. Namshukuru Mungu sijawahi kwua na addiction na kitu chochote nikashindwa kuquit. Nikiona sikiwezi nikiamua tu kuquit na quit mara moja.
Usijilaumu, kama uliweza kuanza unaweza kuanza upya wkanza bado wewe ni mdogo una miaka 25 kuna watu wako 45 ndipo wameanza upya. la msingi acha kubet.
 
Betting, Dubu la Mchina na mengineyo apart from economic effect pia yanachangia mental illness unapokula unapata furaha ya muda mfupi na hela hutazitumia kwenye vitu vya maana but ukiliwa unaanza kujiona the biggest looser dunia nzima. Kifupi haya mambo niliyafanya lakini sikuona faida zake zaidi ya kukufanya uwe mwehu hadi kupelekea kuongea pekeyako. Dawa ni kuamua kuacha.
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Utakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.

Huwa sichezi dubu Wala aviator sababu sijawahi kushawishika kuicheza baada ya kuona watu wanavyopoteza pesa ndefu Kwa muda mfupi. Nawajua wengi tu waliofunga biashara na kupata makesi sababu ya Aviator. Nmespecialize kwenye mechi peke yake. Kwa upande wangu sijaiona hasara ya mchezo huu, kabisaaa.

Nahitimisha Kwa kusema wewe ndio KIBUA
 
Niliwahi kushauri serikali kuto khipamba kamari na kuipa majina ya kawaida kisa inalipa kodi eti michezo ya kubahatisha" ikiwa haijasajiliwa inaitwa kamari" hili jambo ni la.ovyo kwenye nchi vibaya sana saaa hivi hata watoto hutoroka shule wanaenda kucheza mabonanza ukiacha mia mbili mezani huwezi kuikuta
Na kibaya mawaziri wa nchi yetu wanamiliki kampuni za betting na wabunge baadhi wapo wanamiliki kampuni za betting kwahiyo huwezi kuniambia hata sheria ya michezo ya kubahatisha itakuwa rafiki kwa masilahi ya kuharibika vijana wetu kiukweli sitashangaa hata bangi kusajiliwa au kusindikwa hivi karibuni itaitwa sigara kubwa na ikilipa kodi tu basi 😂
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Doooh pole sana
Na hilii tatizo haupo nalo wewe tuu bado vijana wenzako huku 😆 😆 wa mazimbu wa tourism wanabetting saana mpaka wengine wameshindwaa kulipa ada zao kabisaa na kutaka kuachana na chuo kabisaa,
Muhimuu ni kuchukua tahadhari na kufanyaa maamuzi mapyaa
Chukua hatua bila kujali utadhalilika, utachekwa au kuhaibika kitu cha muhimu ni kuchukua hatua now kwajiri ya maisha yako na upange
mipango mipya ya kujikwamua kiuchumii naa kuachana na mambo ya kamari, kabisa,, Additionally mrudiee mungu kwasababu ni dhahiri kabisa mungu amekataza michezo ya kubashiri na kamari katka vitabu vyote vitukufu injiri pia na Qur -an
Sababu alishajua ni tegemezii na madharaa yake ni makubwaa

Ndo kama hivii sasa vijana wanakuwa hawana faida katika jamii(unproductive) wana maliza ma vyuo na kuishia kufanya mambo mabayaa tuu mitaani
Na mwisho wa siku kamari zikidhihiri matokeo yake ni kukosa hata chakula cha kutosha Nchini,

SIZIDII NASAHA ZANGU
 
Kitendo cha kutambua kua betting imekuharibia maisha ni ishara ya kujitambua na kutambua kosa lako,

Bado hujachelewa na umri wako bado unaruhusu,toka huko kwenye betting uanze upya,

Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa.
Kongole kwa mchango mzuri sana.
Ukitoa uchawa wako kwa CCM, una ushauri kuntu sana ndugu.
 
Pole sana mkuu, kwa umri wako wewe ni mdogo bado.

Ukishazama penzini na malengo yako ni ngumu kutoka, inaonekana wewe huna mahaba na malengo yako una mahaba na pesa ndo maana unashawishika kiwepesi. Kamari ni mchepuko mwenye madhara sana akiingilia penzi lako na malengo yako ila anaachika ukituliza kichwa.

Mfano: Miaka mi5 nyuma wakati unaanza kusoma Tourism malengo yalikuwa ni nini? Uliyapenda au ulilazimishwa maana ni kama umeyatelekeza,
Kilombero nadhani ipo Arusha, mji wa kitalii, umesoma utalii kwanini utumie miaka mi5 shule kusoma tourism ili ukafanye biashara ya uchuuzi inayohitaji elimu ya kidato cha 4 au drs la saba? Kama hukuwa na mahaba na malengo ya kuwa guide au kumiliki tour company, au kusambaza bidhaa za utalii kwanini ulipoteza muda na utalii?

Uraibu wa kamari ni ajali iliyotokana na kupuuza malengo.
 
Utakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.

Huwa sichezi dubu Wala aviator sababu sijawahi kushawishika kuicheza baada ya kuona watu wanavyopoteza pesa ndefu Kwa muda mfupi. Nawajua wengi tu waliofunga biashara na kupata makesi sababu ya Aviator. Nmespecialize kwenye mechi peke yake. Kwa upande wangu sijaiona hasara ya mchezo huu, kabisaaa.

Nahitimisha Kwa kusema wewe ndio KIBUA
kimsingi natamani ata huu ubongo wangu ufute kumbukumbu zote nianze upyaa kabisaa kwa sababu nimebeba mfadhaiko mkubwa sana moyoni mwangu
 
Kweli kamari mkund* wa shomari,..

Mara ya mwisho kubet mwaka 2022 mechi ya kwanza ya ligi Azam Vs Geita Gold,mechi Chamazi nili weka Milion Moja Azam ashinde,odds 1.43
 
Bet kama starehe, usichukulie kama source ya income.
Mimi tokea 2014 nabet mpaka leo, na sijawai jutia, kuwa na selfcontrol.
Weka kiasi unacho kimudu
 
Utakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.

Huwa sichezi dubu Wala aviator sababu sijawahi kushawishika kuicheza baada ya kuona watu wanavyopoteza pesa ndefu Kwa muda mfupi. Nawajua wengi tu waliofunga biashara na kupata makesi sababu ya Aviator. Nmespecialize kwenye mechi peke yake. Kwa upande wangu sijaiona hasara ya mchezo huu, kabisaaa.

Nahitimisha Kwa kusema wewe ndio KIBUA
Hapa umeandika kizembe. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kama wewe huna mihemko, shukuru. Huyu muanzisha mada anaonekana kuwa addicted. Unamshambulia mtu aliyekuwa addicted ili iweje? Mpe ushauri wa kuondokana na tatizo lake.
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Pole mkuu
Kuacha kamari ni mchakato, sio kitu cha mara moja. Kama walivyosema wengine, ja,mbo la kwanza umeshalifanya. Yaani kutambua kuwa kamari ni tatizo. Fanya juhudi kuachana nalo. Hutafanikiwa mara moja. Unaweza kuacha kwa miezi 2/3, ukarudi tena kwa nguvu. Lakini alimradi una nia ya kuacha, utafanikiwa tu.
Pia tafuta ajira. Itakufanya uwe bize; na kupunguza kuwaza kamari kila wakati.
 
Hapa umeandika kizembe. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kama wewe huna mihemko, shukuru. Huyu muanzisha mada anaonekana kuwa addicted. Unamshambulia mtu aliyekuwa addicted ili iweje? Mpe ushauri wa kuondokana na tatizo lake.
Uzembe upo na nimejizungumzia Mimi? Nionyeshe sehemu nilipogeneralize kwenye andiko langu ili niione huo uzembe.

Baada ya hapo, kama ni mtu timamu huwezi kushindwa kung'amua cha kufanya. Inaonekana umekuja race town sio
 
Back
Top Bottom